UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Habari Mh Rais!

Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati ,

Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama radio flani imehusika katika kupanga na kuharibu hii milabaha kwa sio ya hiyo radio mpk ikukubali ndo uwekwe kwenye list ni ya wasanii wote wa Tanzania kulingana na walivyojituma

Mwisho naona ifatiliwe namna walivyopiga hayo mahesabu na takwimu zao zilivyowekwa

Asante
 
Back
Top Bottom