Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

Inaelekea mifumo yetu haijatengemaa bado. Tuna level 3 toka basic certificate hadi ordinary diploma. NTA 4 basic certificate, NTA 5 Certificate na NTA 6 Ordinary Diploma. Tofauti inakuja kwenye packaging. Kuna vyuo vinatoa cheti kila ngazi, kuna vyuo vina tenganisha level 4 na level 5 ikienda na level 6 yaani certificate level 4 mwaka mmoja halafu unaingia "diploma course" ambayo ni muunganiko wa 5 na 6. Kana kwamba haitoshi kuna wanao package zote 3 pamoja yaani unadahiliwa kama mwanafunzi wa diploma lakini unapitia level zote 3 kwa mfano hizi technical cilleges za serikali.
Upande wa mifugo na kilimo zamani ilikuwa cheti miaka 2 na diploma miaka 2 lakini naona sasa wanatakiwa wafiti kwenye level 4 hadi 6, hivyo vyuo vingi vinatoa cheti level 4 na 5 pamoja hii inamaanisha unatoka na cheti cha 5. Ukichukua diploma unasoma kwa mwaka mmoja level 6.
Nisichoelewa hizo GPA za Diploma zinahusisha miaka mingapi-NTA level 6 peke yake au miwili level 5 na 6 au yote mitatu level 4 hadi 6. Naona pana kizungu mkuti hapa.
 
Diploma sio miaka miwili, ila kuifikia diploma ndo inakupasa upitie hatua 2.

NTA level 5( technician certificate) mwaka mmoja then baadae NTA level 6 ( diploma)

Kuna baadhi ya vyuo, kila mwaka wa masomo wanatoa vyeti ikiwa mwanafunzi atataka.

Basic certificate (NTA 4) unapewa cheti.

Technician certificate (NTA 5) unapewa cheti.

Diploma (NTA 6) unapewa cheti.
ok sawa nimeshakuelewa mkuu. asante wadau.
 
Inaelekea mifumo yetu haijatengemaa bado. Tuna level 3 toka basic certificate hadi ordinary diploma. NTA 4 basic certificate, NTA 5 Certificate na NTA 6 Ordinary Diploma. Tofauti inakuja kwenye packaging. Kuna vyuo vinatoa cheti kila ngazi, kuna vyuo vina tenganisha level 4 na level 5 ikienda na level 6 yaani certificate level 4 mwaka mmoja halafu unaingia "diploma course" ambayo ni muunganiko wa 5 na 6. Kana kwamba haitoshi kuna wanao package zote 3 pamoja yaani unadahiliwa kama mwanafunzi wa diploma lakini unapitia level zote 3 kwa mfano hizi technical cilleges za serikali.
Upande wa mifugo na kilimo zamani ilikuwa cheti miaka 2 na diploma miaka 2 lakini naona sasa wanatakiwa wafiti kwenye level 4 hadi 6, hivyo vyuo vingi vinatoa cheti level 4 na 5 pamoja hii inamaanisha unatoka na cheti cha 5. Ukichukua diploma unasoma kwa mwaka mmoja level 6.
Nisichoelewa hizo GPA za Diploma zinahusisha miaka mingapi-NTA level 6 peke yake au miwili level 5 na 6 au yote mitatu level 4 hadi 6. Naona pana kizungu mkuti hapa.
ni kweli mkuu kwa wanafunzi wanaoenda kusomea kozi za afya, mifugo na kilimo wanasoma miaka 3 mpaka kupata cheti cha diploma na sijajua kama mfumo wao umebadilishwa au ni ule ule.
 
Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.

Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
Ni sahihi tu kwa njia rahisi ni kwamba kama umetoka level 4 ukaaply diploma miaka miwili ule wa kwanza ndio nta level 5 ndio maana wengi kama hawana vigezo vya kuanza certificate Nta level 5 wanaanza basic technician na ukianza Nta level 5 unasoma miaka miwili halafu unaenda kumalizia nta level 6 mwaka mmoja
 
Muongozo sahihi ni kwamba:-

Anaetoka form four ili apate cheti anatakiwa asome NTA level 4 na 5 anakuwa awarded chet

Ataenda kusoma Ordinary diploma mwaka mmoja kupata NTA level 6

Anayetoja advance atasoma miaka 2 yaani level 5 na 6, na hapo hatapata cheti Cha Nta level 5, atapata Cha Nta level 6 ambayao ni Ordinary diploma

Akihitaji kupata NTA level 5, lazima aingilie kwa ufaulu wa kidato Cha nne na sio Cha sita.

Nimepitia hukoo na nina experience pia nimeajirwa Serikali kwa vigezo hivyoooo
 
Level 4 ina cheti, level 5 ina cheti.. Na level 6(dip) ina cheti..

Ukisoma miaka mitatu una vyeti vi3.

Leve 4 inaitwa basic technician cert.
Level 5 inaitwa technician cert.
Level 6 ordinary diploma.

Iyo kauli ya diploma ni miaka mitatu isikuchanganye.....
nta level 5 ni mwanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza.

sasa ina maana nta level 5 ina cheti ???

kwasababu nimeona tangazo la kazi wanataka vigezo hivyo. mtaalamu wa elimu aje kunielemisha
 
Mbona unaelekezwa alafu mbishi.... Au una majibu yako unayoyataka....

Diploma miaka miwili sio maana unayoijua wewe....

Miaka miwili ni nta level 5 na level 6.

Technician certificate na diploma yenyewe
Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.

Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
 
Muongozo sahihi ni kwamba:-

Anaetoka form four ili apate cheti anatakiwa asome NTA level 4 na 5 anakuwa awarded chet

Ataenda kusoma Ordinary diploma mwaka mmoja kupata NTA level 6

Anayetoja advance atasoma miaka 2 yaani level 5 na 6, na hapo hatapata cheti Cha Nta level 5, atapata Cha Nta level 6 ambayao ni Ordinary diploma

Akihitaji kupata NTA level 5, lazima aingilie kwa ufaulu wa kidato Cha nne na sio Cha sita.

Nimepitia hukoo na nina experience pia nimeajirwa Serikali kwa vigezo hivyoooo
Mkuu nina mdogo wangu anataka akasome diploma ya nursing
Ndio kamaliza form 4!

Niko namfanyia application saivi, yeye ataingia kama odirnaly diploma(nta level 6) au basic technician certificate?

Nisaidie hapo mkuu?!!
 
Form4 ataanza na level 4
 
Mkuu kwa ambae ndio anataka aanze cirtficate anaitwaje hapo?
anataka aanze certificate akiwa level gani sasa?
Maana hilo NTA level 4 ni mwaka mmoja, level 5 ni miaka miwili na Level 6 ni miaka mitatu. Hivyo hiyo certificate unayosemea wewe inategemea ni ya miaka mingapi kati ya mmoja au miwili.
 
Kozi ya Diploma sio miaka miwili ni miaka mitatu kwa wote waliomaliza form four na form six, na wale wanaotoka VETA wenye grade one. Grade one ya VETA ni sawa na Level 3 wenyewe hawaiti NTA bali NVA 3 (National Vocasion Award)

Mwaka wa kwanza unakuwa level 4, mwaka wa pili unakuwa level 5 na mwaka wa tatu unakuwa umemaliza level 6 unachomoka na Ordinary Diploma yako safi kabisa. Kuna vyuo vinatoa vyeti kila level unayomaliza ukitaka iwe level 4, 5 au 6 ukitaka.

Waliosoma Certificate miaka ya zamani walisoma miaka miwili kipindi kile mifumo haikuwa ya levels, sasa huyu akitaka kupata diploma ndo atasoma kwa miaka miwili yaani ataanzia level 5 na atamalizia na level 6.
Nilichokiandika ninakijua vizuri sijasimuliwa na aliesimuliwa bali ni true story imenikuta mimi mwenyewe.
 
Ivi kama mtu, ana diploma ya pharmacy anaweza akasoma diploma ya clinical medicine au animal health kwa miaka 2 au mmoja
 
Muongozo sahihi ni kwamba:-

Anaetoka form four ili apate cheti anatakiwa asome NTA level 4 na 5 anakuwa awarded chet

Ataenda kusoma Ordinary diploma mwaka mmoja kupata NTA level 6

Anayetoja advance atasoma miaka 2 yaani level 5 na 6, na hapo hatapata cheti Cha Nta level 5, atapata Cha Nta level 6 ambayao ni Ordinary diploma

Akihitaji kupata NTA level 5, lazima aingilie kwa ufaulu wa kidato Cha nne na sio Cha sita.

Nimepitia hukoo na nina experience pia nimeajirwa Serikali kwa vigezo hivyoooo
Na je kwa chuo cha huria aliemaliza certificate akijiunga na NTA 5 na kufaulu vizuri,,je anaruhusiwa kujiunga na degree
 
Piga one year of foundation then apply chuo chochote ukifaulu
 
Labda hukunielewa,I mean ukiwa na certificate ya chuo chochote,je anaruhusiwa kujiunga chuo cha huria NTA 5 na ukifaulu vzuri anaruhusiwa kwenda degree!??
 
Naomba kuchangia wazo, NTA level4 ni certificate kamili ya vyuo vitoavyo fani za mwaka mmoja ukitoa vyuo vya afya,kilimo,ualim na vingine vinavyofanana na kozi hizo ambapo kada za afya,,kilimo na ualim ili uhitimu na uwe na uwezo wa kufanya kazi lazima usome miaka miwili na kupewa cheti chake cha 2years yaan NTA5. Lakin kada za social unapiga mwaka mmoja tayari unapewa cheti na kuanza kusoma diploma kwa miaka miwilNTA level4and5.ambapo afya na kada ambazo nimezitaja hapo mwanzo utapiga 2yrs nakupewa cheti yaan certificate NTAlevel4and5.
 
Back
Top Bottom