Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

Kwahio mwenye diploma ya Nursing ni NTA level 6?
 
nta level 5 ni full technician certificate na nta level 6 ndio technician certificate
 
Labda hukunielewa,I mean ukiwa na certificate ya chuo chochote,je anaruhusiwa kujiunga chuo cha huria NTA 5 na ukifaulu vzuri anaruhusiwa kwenda degree!??
hapana lazima uwe na NTA level 6 ambayo ni ordinary diploma
 
Kwa ulivyoeleza, una point na inaibua hili: sasa hii ni kweli:

Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? maana ana cheti cha mwaka wa kwanza amepita, Utaratibu huu upo?
 
Nisaidie kwa hili kama unalijua
Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
 
Sasa je ikiwa nafasi iliyotoka ni NTA level 5 je na alieomba ana NTA level 6 je anaruhusiwa au anaweza kataliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…