Naomba kuchangia wazo, NTA level4 ni certificate kamili ya vyuo vitoavyo fani za mwaka mmoja ukitoa vyuo vya afya,kilimo,ualim na vingine vinavyofanana na kozi hizo ambapo kada za afya,,kilimo na ualim ili uhitimu na uwe na uwezo wa kufanya kazi lazima usome miaka miwili na kupewa cheti chake cha 2years yaan NTA5. Lakin kada za social unapiga mwaka mmoja tayari unapewa cheti na kuanza kusoma diploma kwa miaka miwilNTA level4and5.ambapo afya na kada ambazo nimezitaja hapo mwanzo utapiga 2yrs nakupewa cheti yaan certificate NTAlevel4and5.