E excellentone JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 721 Reaction score 471 Jan 17, 2018 #81 Medicci said: Hizi institutions za fedha competition ndio jambo LA maana, monopoly hufanya huduma zao kuwa mbaya Click to expand... Lakini mkuu zipo nyingi mno, Mimi katika uzoefu wangu sijakutana na nchi yenye utitiri wa mabenki Kama hapa kwetu
Medicci said: Hizi institutions za fedha competition ndio jambo LA maana, monopoly hufanya huduma zao kuwa mbaya Click to expand... Lakini mkuu zipo nyingi mno, Mimi katika uzoefu wangu sijakutana na nchi yenye utitiri wa mabenki Kama hapa kwetu
E excellentone JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 721 Reaction score 471 Jan 17, 2018 #82 mpita-njia said: Vitu vi 2. 1. Either Bank zinunuane, CRDB inunue Akiba, Exim n.k 2. Serikali izi taifishe hizo bank, asset zake n.k Click to expand... Nimeipenda no.1, na hilo ndo jibu
mpita-njia said: Vitu vi 2. 1. Either Bank zinunuane, CRDB inunue Akiba, Exim n.k 2. Serikali izi taifishe hizo bank, asset zake n.k Click to expand... Nimeipenda no.1, na hilo ndo jibu
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,571 Reaction score 9,789 Jan 18, 2018 #83 Root said: Zipo ila hazina mikopo mibaya Tafuta list angalia namba 1-5 Click to expand... Sawa mkuu.
Danthedon Member Joined Feb 29, 2016 Posts 84 Reaction score 52 Jan 18, 2018 #84 excellentone said: Lakini mkuu zipo nyingi mno, Mimi katika uzoefu wangu sijakutana na nchi yenye utitiri wa mabenki Kama hapa kwetu Click to expand... Hatujafikia hata nusu ya Bank za kenya
excellentone said: Lakini mkuu zipo nyingi mno, Mimi katika uzoefu wangu sijakutana na nchi yenye utitiri wa mabenki Kama hapa kwetu Click to expand... Hatujafikia hata nusu ya Bank za kenya