excellentone
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 721
- 471
Lakini mkuu zipo nyingi mno, Mimi katika uzoefu wangu sijakutana na nchi yenye utitiri wa mabenki Kama hapa kwetuHizi institutions za fedha competition ndio jambo LA maana, monopoly hufanya huduma zao kuwa mbaya