Ufafanuzi kuhusu wanawake wenye nuksi

Nyatyo

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
89
Reaction score
78
Wakuu naomba ufafanuzi hii imekaaje.

Inasemekana kuna wanawake wana baraka na wengine wana nuksi ukitembea nao wanakuachia nuksi zao.

Je, ikiwa mtu kachepuka na mdada mwenye nuksi akirudi nyumban akatembea na mkewe tena je hizo nuksi alizozibeba kwa mchepuko zitampata na mkewe?

Na je hizo nuksi zinaweza zikambadirisha mkewake nae akawa na nuksi au imekaaje hapo wadau.!
Kuna namna yakujisafisha hizo nuksi zisikupate?

Kwa anae elewa hizi mambo msaada jamani…

Kejeri haziruhusiwi[emoji106]
 
"Nuksi" is transmissible through conjugal! Yes! It is true!
 
Wanawake wenye nuksi ni wale ambao wanalala na wanaume wengi kila siku au wauza natural slippery sweet jelly.
Unataka kusema wale malaya waliobebwa na karandinga pale sinza na ubungo wote ni nuksi tupu?
 
Siamini kama binadamu ana nuksi labda liwe pigo kwa sababu ya kuzini.
 
Kama unavyowrza ingia choo chenye harufu mbaya ukitoka nje ukakaa na watu wanajua ulikuwa chooni.
Kuoga ni mhimu na siyo kila maji ya kila mto hutakatisha.
Kama ambavyo sahani ikitumika lazima ioshwe,wanawake wanaongoza kwa uchafu na kuchafuliwa.

Uchafu huanza kuvuruga akili kwanza kisha sura hukakamaa utauza chochote hanunui mtu.
 
Jamani toeni majibu acheni polojo bac
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…