Ufafanuzi kuhusu wanawake wenye nuksi

Ufafanuzi kuhusu wanawake wenye nuksi

Nyatyo

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
89
Reaction score
78
Wakuu naomba ufafanuzi hii imekaaje.

Inasemekana kuna wanawake wana baraka na wengine wana nuksi ukitembea nao wanakuachia nuksi zao.

Je, ikiwa mtu kachepuka na mdada mwenye nuksi akirudi nyumban akatembea na mkewe tena je hizo nuksi alizozibeba kwa mchepuko zitampata na mkewe?

Na je hizo nuksi zinaweza zikambadirisha mkewake nae akawa na nuksi au imekaaje hapo wadau.!
Kuna namna yakujisafisha hizo nuksi zisikupate?

Kwa anae elewa hizi mambo msaada jamani…

Kejeri haziruhusiwi[emoji106]
 
Wakuu naomba ufafanuzi hii imekaaje..
Inasemekana kuna wanawake wana baraka na wengine wana nuksi ukitembea nao wanakuachia nuksi zao.

Je ikiwa mtu kachepuka na mdada mwenye nuksi akirudi nyumban akatembea na mkewe tena je hizo nuksi alizozibeba kwa mchepuko zitampata na mkewe?

Na je hizo nuksi zinaweza zikambadirisha mkewake nae akawa na nuksi au imekaaje hapo wadau.!
Kuna namna yakujisafisha hizo nuksi zisikupate??

Kwa anae elewa hizi mambo msaada jamani…
Kejeri haziruhusiwi[emoji106]
"Nuksi" is transmissible through conjugal! Yes! It is true!
 
Wakuu naomba ufafanuzi hii imekaaje.

Inasemekana kuna wanawake wana baraka na wengine wana nuksi ukitembea nao wanakuachia nuksi zao.

Je, ikiwa mtu kachepuka na mdada mwenye nuksi akirudi nyumban akatembea na mkewe tena je hizo nuksi alizozibeba kwa mchepuko zitampata na mkewe?

Na je hizo nuksi zinaweza zikambadirisha mkewake nae akawa na nuksi au imekaaje hapo wadau.!
Kuna namna yakujisafisha hizo nuksi zisikupate?

Kwa anae elewa hizi mambo msaada jamani…

Kejeri haziruhusiwi[emoji106]
Kama unavyowrza ingia choo chenye harufu mbaya ukitoka nje ukakaa na watu wanajua ulikuwa chooni.
Kuoga ni mhimu na siyo kila maji ya kila mto hutakatisha.
Kama ambavyo sahani ikitumika lazima ioshwe,wanawake wanaongoza kwa uchafu na kuchafuliwa.

Uchafu huanza kuvuruga akili kwanza kisha sura hukakamaa utauza chochote hanunui mtu.
 
Back
Top Bottom