Ufafanuzi: Kuvunjwa Halmashauri ya Jiji la Dar kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji

Kwa sasa kuna Jiji la Dar es salaam au kuna Jiji la Ilala? Kuuliza sio ujinga.
 
Hayo mambo ni sawa na ile kauli ya aliyeturoga kafa...maana alilivunja jiji halafu akaendazake, nyie ishini tu hivyo hivyo🤣🤸🐒
 
Alivunjaye jiji huvunjika yeye, nafikiri umeelewa.
 
hivi haya maamuzi bado yanadumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…