Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri issue kubwa hapo ni kuwa na halmshauri isiyo na eneo kiutawala na kuendesha halmashauri ni gharama kubwa. Kufuta halmashauri moja unnecessary kama hii ni jambo jema.Je matatizo vya Daresalaam ni kwasababu ya jiji kukosa sehemu mahususi?
Ilala.. Kwani shida iko wapi sasa!?Hizo ofisi za jiji zilizoenda ilala zitasimamia eneo gani la kiutawala?
Huu ndo ukweli...Iteni vyovyote mnavyo jua, dar es salaam ni moja na itabakia moja.. uwe mwambe pande au kivukoni wote tupo dar.. mengine ni siasa tuu.
Jiji la daslamIlala inakuwa makao makuu ya nini?
Huu uzi ndiyo njia pekee ya kutambua watanzania ni wazito sana kuelewa.
Tetetete, nieleweshe alafu siyo kila mtu amesoma F4 ama F6Ndio madhara ya kudharau somo la Civics au DS ulipokuwa shule
Mpaka Sasa hizo Kino, TMK ni majiji tosha. Ilala inaweza kua imeendelea kuliko TMK au Kino lakini TMK na Kino nazo zimeendelea kuliko labda Arusha au Mwanza ambayo ni MajijiIlala imekuwa Dar city, kinondoni ikifikia viwango vya jiji itaitwaje? Inamaana ndani ya mkoa wa Dar kutakuwa Dar city, kino city, Tmk City etc itapofikia maeneo yote hayo yana viwango vya kuwa Jiji.
... shukran Mkuu umefafanua vizuri sana. Picha ninayoipata ni kwamba pale Feri upande wa Kigamboni, Magomeni, Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach, Magomeni, Mwenge, Manzese, Sinza, Kijitonyama, Mwananyamala, Urafiki, Mabibo, n.k. ni viunga vya Dar-es-Salaam City while Chanika, Kajiungeni, Mongo la Ndege, n.k. ni Dar-es-Salaam City Center.Hapana, Dar es Salaam kumbuka ni mkoa. Kwa maana ya Mkoa, ina idadi ile ile ya watu, kwa maana ya Jiji la Dar es Salaam ( Urban Proper eneo la Ilala) kweli itakua na watu wachache...
Apo naona unataka sasa kuleta matango mkuu.Sema hii agenda setting ndiyo imetumika kufanya decision za mihemko.Moja ya manufaa yake ni kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa na sehemu yake mahsusi ya kiutawala tofauti na ilivyokuwa awali. Awali, jiji la Dar es Salaam ni kama lilikuwa likielea kuhusu eneo hasa la kiutawala.
Ndio hivyo, mbona Arusha jiji inaundwa na wilaya moja tu ambayo ni Arusha mjini.Kwa mbaaali nimeanza kuelewa.....
Ila nina swali, kwa hiyo kumbe kuna wilaya nyingi tuu hapa Tanzania tunaweza kuzipa hadhi ya majiji? Mfano Moshi.
Hicho ulichoandika siyo sahihi. Rejea maana ya miji na vijiji. Nchi ina miji, vijiji na mapori. Wananchi wanaishi aidha mijini au vijijini. Huko porini wanaishi wanyama pekee.Ndiyo kusema, Jiji la Dar es Salaam kwasasa ni sehemu yote ya Wilaya ya Ilala na si vinginevyo. Wilaya za Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni si sehemu ya jiji la Dar es Salaam. Hizo zimebaki kuwa Halmashauri za Manispaa. Katika kueleweka zaidi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya sasa imepakana na Halmashauri za Manispaa za Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni. Kwahiyo, mtu wa Ubungo, Temeke, Kinondoni na Kigamboni hayupo ndani ya Jiji la Dar es Salaam.
Sio kwamba hii italeta utendaji wenye tija kwa kila halmashauri na kuongeza maendeleo respectively!!?Hayo unayoita manufaa mimi naweza kuyaita ndio mapungufu....
Mwanzo ingeweza kuhakikisha resources zinagawanywa sawa kwa manispaa zote zilizopo bila upendeleo wala bila kusahaulika hata kule ambalo hakuna resources nyingi..., hivi sasa hiyo Ilala / Jiji itakusanya resources kwa manufaa yake na kila manispaa kivyake wakati mwanzo ingekuwa makusanyo ni kwa manufaa ya manispaa zote kulingana na uhitaji.., Huu naweza kuuita ni muendelezo wa kuondoa nadharia ya Umoja ni Nguvu....,
Mapato ya kila manispaa yapo sawa..., au ndio kila anayekusanya ale na kuzasa sio kuangalia kwenye uhitajiSio kwamba hii italeta utendaji wenye tija kwa kila halmashauri na kuongeza maendeleo respectively!!?
Jiji la Dar ambalo ni Halmashauri ya Ilala itajisimamia katika ukuaji, same as Temeke, Kinondoni, Kigamboni na Ubungo. Kivuli cha jiji la Dar sasa kitaingia kiutendaji zaidi na si kujulikana kinadharia.
Siku Kinondoni ikipandishwa kuwa jiji, Je kutakuwa na majiji mawili ndani ya mkoa mmoja wa Dar!?Moja ya manufaa yake ni kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa na sehemu yake mahsusi ya kiutawala tofauti na ilivyokuwa awali. Awali, jiji la Dar es Salaam ni kama lilikuwa likielea kuhusu eneo hasa la kiutawala.
Unaijua Dar Es Salaam kweli mkuu?unaijua manispaa ya Ilala kweli!Ikulu ya magogoni siyo Dar