Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa vyemaKama nimekuelewa, kinondoni, temeke, kigamboni na ubungo hazipo tena ndani ya jiji la dsm.
Now you knowSasa Mayor wa jiji ndio kazi kwisha au?
Yale ni mapato ya manispaa ya UbungoJiji halikua na vyanzo vya mapato kivipi wakati Ubungo Stand ya Mkoa ilikua chini ya Jiji? Zile 300 za kuingia ndani sio vyanzo?
Parking za kati kati ya Jiji zilikua zipo chini ya nani?
Kwa hiyo unamaanisha toka mwanzo kabisa mkoa wa Dar ulipewa hadhi ya jiji kwa sababu ya halmashauri ya Ilala tuu?Halmashauri kuwa na eneo mahsusi ni faida. Kabla ya jana, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kama ilikuwa ikielea huku mamlaka yalikuwa kwa kila Manispaa na maeneo yake
Naona Unakaribia kufika Kibaha ..bado kidogo ufike DarYale ni mapato ya manispaa ya ubungo
Hayo unayoita manufaa mimi naweza kuyaita ndio mapungufu....Moja ya manufaa yake ni kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa na sehemu yake mahsusi ya kiutawala tofauti na ilivyokuwa awali. Awali, jiji la Dar es Salaam ni kama lilikuwa likielea kuhusu eneo hasa la kiutawala.
Ndiyo kwa maswali matatu ya juu na hapana kwa lililobaki. Ukuaji wa kiuchumi uko palepale... kwa maana hiyo ni sahihi kusema ifuatavyo?
- ... kwamba eneo la jiji la Dar-es-Salaa (city proper) ni eneo la iliyokuwa Manispaa ya Ilala? Kwamba kieneo Dar-es-Salaam ya sasa ni ndogo kuliko Dar-es-Salaam ya kabla ya jana?
- ... kwamba kwa idadi ya watu, Dar-es-Salaam ya kuanzia jana idadi yake ya watu ni sawa na idadi ya watu wa Ilala?
- ... kwamba Dar-es-Salaam ambayo ilikuwa miongoni mwa majiji yanayokuwa kwa kasi zaidi duniani uanzia jana sifa hiyo imekoma? Petro E. Mselewa
Jiji ni Ilala tuMkoa wa Mwanza una wilaya 5: Nyamagana,Ilemela,Misungwi,Magu na Sengerema. Jiji la Mwanza lina Wilaya 2: Nyamagana na Ilemela. Wilaya ya Nyamagana ndiyo halmashauri ya jiji la Mwanza, Wilaya ya Ilemela ni Manispaa lakini iko ndani ya jiji la Mwanza. Je Dar es Salaam?
Hivi Bunge, Rais n.k. wana vyanzo gani vya mapatoMosi, kuwa na eneo mahsusi la kiutawala la Jiji la Dar es Salaam kama Halmashauri. Pili, kuondoa matumizi yasiyo ya lazima ya Madiwani waliokuwa wakishiriki vikao vya lililokuwa Jiji huku wao wakitokea na kushiriki kwenye Halmashauri zao. Kiukweli, yalikuwa matumizi mabaya ya fedha kwa kuzingatia kuwa Halmashauri ya Jiji iliyovunjwa haikuwa na vyanzo vya mapato.
Kwa mbaaali nimeanza kuelewa.....Mkoa wa Mwanza una wilaya 5: Nyamagana,Ilemela,Misungwi,Magu na Sengerema. Jiji la Mwanza lina Wilaya 2: Nyamagana na Ilemela. Wilaya ya Nyamagana ndiyo halmashauri ya jiji la Mwanza, Wilaya ya Ilemela ni Manispaa lakini iko ndani ya jiji la Mwanza. Je Dar es Salaam?