Kimsingi Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti. Sema tu nchi ya Tanganyika imebadilishwa jina kinyemela na wanasiasa wetu, na kuitwa Tanzania Bara.
Hivyo unastahili kabisa kulipa kodi.
Sisi Watanganyika ndiyo tunajikomba komba kuita Tanzania Visiwani. Ila wenye nchi yao, huitambua kama Zanzibar.Zanzibar wanaita Tanzania visiwani, Jee hivi visiwa vya Mafia , Ukerewe nk navyo ni Zanzibar?
Inashangaza ktk mambo mengine wanasema nchi moja.Lakini ukija sifa za kuitwa nchi imekamilika.Hapa pana siri.Kimsingi Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti. Sema tu nchi ya Tanganyika imebadilishwa jina kinyemela na wanasiasa wetu, na kuitwa Tanzania Bara.
Hivyo unastahili kabisa kulipa kodi.
Zanzibar ni free port na ni nchi kamili .. Kinachotuunganisha ni siasa tu ama chama cha siasaHii kitu inaumiza sana , Tanganyika na Zanzibar ni nchi 2 tofauti tujue kabisa !
Mtu unanunua gari Zanzibar ukija bara unadaiwa tena ushuru , kwanini ?
Wataalamu wa Kodi mnaweza nielezea hili kwa nini iwe hivi ?
Kama sisi ni nchi 2 tofauti tuelewe basi
free, how?!Zanzibar ni free port na ni nchi kamili .. Kinachotuunganisha ni siasa tu ama chama cha siasa
Bandari au maeneo ya bure (free port) yameteuliwa na serikali kama maeneo yasiyo na ama kodi kidogo ili kuhimiza shughuli za kiuchumi. Ingawa ziko kijiografia ndani ya nchi, kimsingi ziko nje ya mipaka yake kwa madhumuni ya ushuru.free, how?!
JESUS IS LORD
Mbona marais wao wengi ni kutokea tanganyikaZanzibar ni free port na ni nchi kamili .. Kinachotuunganisha ni siasa tu ama chama cha siasa
Ni kwa sababu ya muungano wa kisiasa tuu lakini hilo ni taifa kamili kasoro sarafu tuuMbona marais wao wengi ni kutokea tanganyika
Acha ujanja ujanja ktk huu muungano unao upinga Mznz ndio ana nufaika zaidi ...CCM ni vilaza kwanza waliua biashara ya zanzibar ambapo zamani wazimbabwe, wamalawi na wazambia wengi walivhukua bidhaa zanzibar na kupeleka kwao na zanzibar ilipata kodi kama kawaida ndio maana muungano tunaupinga haufai umekaa kinafiki sana
HahahahaMkuu unazungumzia kununuwa gari Zanzibar??
Sukari na mafuta huruhusiwi kununuwa na kuja navyo bara.
Inchi ya hovyo Sana hii.