Ufafanuzi: Kwanini ukinunua kitu Zanzibar, ukija nacho Tanzania Bara unatakiwa kulipia kodi?

Ufafanuzi: Kwanini ukinunua kitu Zanzibar, ukija nacho Tanzania Bara unatakiwa kulipia kodi?

Kuna mzee alikuwa katoka zanzibar anakuja bongo pale bandarini TRA wakampigia makadirio ya kodi inayokaribia bei ya TV mzee akachukua TV akaipiga chini halafu akawaambia chukueni kodi hapo wale jamaa bandari ya dar hawana huruma kabisa.
 
Ni kwa sababu ya muungano wa kisiasa tuu lakini hilo ni taifa kamili kasoro sarafu tuu
Ili eneo lijulikane ama lijitangaze kama nchi linahitaji haya mambo 7 makuu ya msingi

1. Kiongozi mkuu
2. Baraza la uongozi
3. Bunge
4. Jeshi
5. Bendera
6. Wimbo wa taifa
7. Mipaka

Sarafu sio muhimu sana kwakuwa nchi inaweza kutumia sarafu ya nchi nyingine... Chama cha siasa pia sio muhimu sana kwakuwa nchi inaweza kuongozwa bila siasa bali kifalme ama kijeshi..! Kwakuzingatia hayo Zanzibar ni taifa ama nchi kamili
Mipaka ya zenji iko wapi?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom