Ufafanuzi mdogo kuhusu kauli ya mabadiliko ya kikokotoo

Ufafanuzi mdogo kuhusu kauli ya mabadiliko ya kikokotoo

Rudi tena kasikilize kauli ya Waziri wa Fedha.
Tangu Mwigulu awe wazirri wa fedha sisikilizi Tena hotuba ya bajeti. Ni kupoteza muda.
Mfano Machi mwaka huu CAG alisema Deni la taifa Ni 80+ trilioni, mwezi huu huu Juni Mwigulu kasema wapepunguza Deni la taifa kwa trilioni 8+
Siku Saba baadaye Mkumbo kasema Deni ya taifa Ni 91+ trilioni.
 
Mimi ikifika umri wa kustaafu nilipwe changu chote
 
Back
Top Bottom