mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo.
Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji.
Hesabu za kupata gawio zinakokotoa mapato yote yatakayopatikana kwa mwaka husika kisha toa gharama zote za biashara na utawala, na halafu kodi ya serikali kulipwa so baada ya hapo ndo unapata net profit/loss. Na hiyo net profit/loss kama ipo inagawanwa sasa kwa izo percent. Kwa nini mnajisahaulisha kuwa hata ikipatikana hasara nayo inabidi igawanwe.
Je, mnayajua matumizi ya Simba? Mishahara, usajili, Kambi, safari, bonus, nk! Mmkumbuke Simba anapanda mwewe mwaka mzima, Azam kwa mwaka kwa yanga katoa 2.4 billion je hiyo inatosha mpaka mo agawiwe?
Tuwatendee haki wawekezaji wetu na tuwache kuwabagaza tu.
Mo endelea kuijenga Simba ili ifikie sehemu na wewe update faida ya pesa zako.