ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii.
Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa.
Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na Mshindi wa FA, na endapo kama mshindi wa Ligi na wa FA ni mmoja basi mechi itakuwa ni mshindi wa Ligi na mshindi namba mbili wa Ligi, hivyo Kwa utaratibu ngao ya jamii ilipaswa kuwa ni Yanga Vs Azam, na sio yanga vs Simba kama ilivyo msimu huu.
Wajuaji wa humu naombeni sababu kwanini mechi ya ngao ya jamii ni yanga vs Simba na sio yanga vs azam