Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

Mahindi yalivyopanda bei hivi, naelewa kwanini unayaandika hadi kwenye uzi zako.
 
Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na Mshindi wa FA, ...
Umesema 'unavyofahamu'. Mashindano hayaendeshwi kadiri ya mtu mmoja mmoja anavyofahamu yeye, tena bila hata kuelezea amefahamu kupitia taarifa ipi. Mashindano yoyote ya mpira wa soka yanaendeshwa kupitia kanuni za ligi, zilizowekwa na wajumbe wa vilabu vyote vinavyoguswa na mashindano hayo, ikiwemo Ihefu, Tabora United, Geita Gold, Mtibwa, Kagera Sugar, KMC, Prisons, Simba, Yanga, Azam, Coastal Union nk,
 
Ila we unapenda sana kujitoa akili. Je neno 'ninavyofahamu' lina maana gani?
 
Tanzania, tuna taratibu zetu za ki pekee, ambazo hauzipati sehemu nyingine! Ufunguzi wa ligi kushirikisha timu nne badala ya mbili, kama alivyoshangaa mleta thread hii, timu iliyotelemka daraja, kupata nafasi ya kujitetea, akipambana na timu inayotaka kupanda! Ni KIVYETU VYETU tu!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Fuatilia mpira hata spain , Germany wanatumia mfumo tunaotumia.
 
Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii.
Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa.

Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na Mshindi wa FA, na endapo kama mshindi wa Ligi na wa FA ni mmoja basi mechi itakuwa ni mshindi wa Ligi na mshindi namba mbili wa Ligi, hivyo Kwa utaratibu ngao ya jamii ilipaswa kuwa ni Yanga Vs Azam, na sio yanga vs Simba kama ilivyo msimu huu.

Wajuaji wa humu naombeni sababu kwanini mechi ya ngao ya jamii ni yanga vs Simba na sio yanga vs azam
Umekariri ligi ya England, embu uwe unafatilia na nchi zingine
 
Hii ni Nchi ya siasa,hapo Azam ametibua ugali wa watu na wanaweza hata msukubu mmiliki Kwa kumpakazia kesi.

Kiufupi hayo matimu yenu ya Kisiasa yakifungwa kwangu Huwa ni burudani tele.
 
Ila we unapenda sana kujitoa akili. Je neno 'ninavyofahamu' lina maana gani?
Ni awareness kuhusu Ngao ya Hisani ya TFF (Tanzania), lakini ni kwa nafsi ya kwanza umoja (yaani wewe bila wengine).
 
Back
Top Bottom