Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

Mahindi yalivyopanda bei hivi, naelewa kwanini unayaandika hadi kwenye uzi zako.
 
Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na Mshindi wa FA, ...
Umesema 'unavyofahamu'. Mashindano hayaendeshwi kadiri ya mtu mmoja mmoja anavyofahamu yeye, tena bila hata kuelezea amefahamu kupitia taarifa ipi. Mashindano yoyote ya mpira wa soka yanaendeshwa kupitia kanuni za ligi, zilizowekwa na wajumbe wa vilabu vyote vinavyoguswa na mashindano hayo, ikiwemo Ihefu, Tabora United, Geita Gold, Mtibwa, Kagera Sugar, KMC, Prisons, Simba, Yanga, Azam, Coastal Union nk,
 
Ila we unapenda sana kujitoa akili. Je neno 'ninavyofahamu' lina maana gani?
 
Fuatilia mpira hata spain , Germany wanatumia mfumo tunaotumia.
 
Umekariri ligi ya England, embu uwe unafatilia na nchi zingine
 
Hii ni Nchi ya siasa,hapo Azam ametibua ugali wa watu na wanaweza hata msukubu mmiliki Kwa kumpakazia kesi.

Kiufupi hayo matimu yenu ya Kisiasa yakifungwa kwangu Huwa ni burudani tele.
 
Ila we unapenda sana kujitoa akili. Je neno 'ninavyofahamu' lina maana gani?
Ni awareness kuhusu Ngao ya Hisani ya TFF (Tanzania), lakini ni kwa nafsi ya kwanza umoja (yaani wewe bila wengine).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…