Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho
Tehteh...kwamba uijue Relativity hata kama hukwenda darasa la 12 mzee baba?Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho
A smart /educated man??I love a smart man who has brilliant content in his brain that we can discuss, argue and exchange with each other.
Kwa hiyo kwako vyeti sio ishu....hata akiwa STD seven ila anajitambua utaweza kumwimba kwa mashosti wa Sakina?Kifupi mwanaume anaejitambua
Nini anataka,na anafanya nini kupata anachotaka
Ustaarabu/busara yake kwa mwanamke wake ama jamii yake inayomzunguka ukoje.
Kuna wanaume wengine hata kushaurika hashauriki linaingilia huku linatokea kule
Kwamaana nyingine muwage romantic sio muda wote makonki lols
No. It does not. Who cares about certs?A smart /educated man??
From What I know..smart is self-taught....It has nothing to do with high ranked certificates.
Does "smart" equal "educated".......
Huyu mwanamme pamoja na kutomaliza vidato na kukusanya vyeti vyote muhimu. ...
Ni yule mtu ambaye ukimweka popote pale Duniani anaweza kuishi, kujishughulisha, kupambana ,kijichanganya na wenyeji pia kuelewana nao katika ngazi tofauti.
Mwanamme huyu ni yule ambaye hachoki kujifunza vitu kutoka kwa mtu yeyote bila kijali rika au kiwango cha elimu...asiyependa kujionyesha anajua kila kitu.
Binti umeolewa wewe?
asante kwa kunielewa vizuri sanaKwa hiyo neno educated ni subjective mkuu.
Wewe mwenye masters na mimi wa form four tunaweza kuwa educated mbele ya wanawake wawili sio!.....