Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Asalaaam.
Wanawake na wanaume wanaotaka kujibu.[wanaowaelewa]
Najua mnashughuli nyingi mpo busy ila tunahitaji ufafanuzi hapa tafadhali kisha mtaendelea na majukumu.
Hivi mnaposema mnahitaji mwanaume educated! Nimepata mwanaume educated.
Mnamaanisha nini!
Yaani aliyeelimika au aliyeenda vidato vingi. Tunauliza maana tusio na shule tunaweza kuwa tunajipa moyo mnamaanisha walioelimika kumbe mnahitaji vyeti vya madegree viwekwe mezani.
NB: kwenye majibu msisahau kuambatanisha na level tunayostahili kuitwa tumeelimika.