Ufafanuzi tafadhali.

Ufafanuzi tafadhali.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Asalaaam.

Wanawake na wanaume wanaotaka kujibu.[wanaowaelewa]

Najua mnashughuli nyingi mpo busy ila tunahitaji ufafanuzi hapa tafadhali kisha mtaendelea na majukumu.

Hivi mnaposema mnahitaji mwanaume educated! Nimepata mwanaume educated.

Mnamaanisha nini!

Yaani aliyeelimika au aliyeenda vidato vingi. Tunauliza maana tusio na shule tunaweza kuwa tunajipa moyo mnamaanisha walioelimika kumbe mnahitaji vyeti vya madegree viwekwe mezani.

NB: kwenye majibu msisahau kuambatanisha na level tunayostahili kuitwa tumeelimika.

Asalaaam.
 
Kifupi mwanaume anaejitambua

Nini anataka,na anafanya nini kupata anachotaka

Ustaarabu/busara yake kwa mwanamke wake ama jamii yake inayomzunguka ukoje.

Kuna wanaume wengine hata kushaurika hashauriki linaingilia huku linatokea kule

Kwamaana nyingine muwage romantic sio muda wote makonki lols
 
Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho

Unajua wewe ndege unatuzinguaga sana na tusredi twako twa kiboya?

Afu unakuja hapa kutupa mchango uliojaa Balimi za Alhamisi kuu.

Ndo umesema nini hapo?
 
Tehteh...kwamba uijue Relativity hata kama hukwenda darasa la 12 mzee baba?
 
I love a smart man who has brilliant content in his brain that we can discuss, argue and exchange with each other.
A smart /educated man??

From What I know..smart is self-taught....It has nothing to do with high ranked certificates.

Does "smart" equal "educated".......
 
Kifupi mwanaume anaejitambua

Nini anataka,na anafanya nini kupata anachotaka

Ustaarabu/busara yake kwa mwanamke wake ama jamii yake inayomzunguka ukoje.

Kuna wanaume wengine hata kushaurika hashauriki linaingilia huku linatokea kule

Kwamaana nyingine muwage romantic sio muda wote makonki lols
Kwa hiyo kwako vyeti sio ishu....hata akiwa STD seven ila anajitambua utaweza kumwimba kwa mashosti wa Sakina?

Umepotea lakini.
 
Unajua wewe ndege unatuzinguaga sana na tusredi twako twa kiboya?

Afu unakuja hapa kutupa mchango uliojaa Balimi za Alhamisi kuu.

Ndo umesema nini hapo?
Hahaha...labda ndiyo anapata Balimi.
 
A smart /educated man??

From What I know..smart is self-taught....It has nothing to do with high ranked certificates.

Does "smart" equal "educated".......
No. It does not. Who cares about certs?
 
Huyu mwanamme pamoja na kutomaliza vidato na kukusanya vyeti vyote muhimu. ...

Ni yule mtu ambaye ukimweka popote pale Duniani anaweza kuishi, kujishughulisha, kupambana ,kijichanganya na wenyeji pia kuelewana nao katika ngazi tofauti.

Mwanamme huyu ni yule ambaye hachoki kujifunza vitu kutoka kwa mtu yeyote bila kijali rika au kiwango cha elimu...asiyependa kujionyesha anajua kila kitu.
 
Basi tumezoea kuwakimbia kinadada wasomi tukidhani wanataka wasomi wenzao wenye vyeti vikubwa.

Ndiyo maana wanawake wenye elimu kubwa wanatongozwa kwa nadra.

Binti umeolewa wewe?

Hahahah.
 
me nadhani kila mwanamke ana "educated man wake" ni vile yeye anavyomdifaini
Kwa hiyo neno educated ni subjective mkuu.

Wewe mwenye masters na mimi wa form four tunaweza kuwa educated mbele ya wanawake wawili sio!.....
 
Kwa hiyo neno educated ni subjective mkuu.
Wewe mwenye masters na mimi wa form four tunaweza kuwa educated mbele ya wanawake wawili sio!.....
asante kwa kunielewa vizuri sana

hell yeah
 
Back
Top Bottom