Ufafanuzi tafadhali.

Mimi naomba niseme kwamba huwa wanamaanisha vyeti vya mtu.... Madegree ma masters ma PhD huko hivyo yaani
Wewe umeamua kunin'gamua.

Kwahiyo sikuhizi hata wale wa Form six mmewaruka mnaanzia kwa madegree...

Hii habari sio nzuri.
 
Wewe umeamua kunin'gamua.

Kwahiyo sikuhizi hata wale wa Form six mmewaruka mnaanzia kwa madegree...

Hii habari sio nzuri.
Sio Mimi wao.....we huonagi matangazo ya kutafuta mume na mke humu yanavyokuwaga????

Mtu anakwambia nahitaji mwanaume mwenye umri Fulani
Elimu awe na digrii au masta .......unadhani ingekua anatafutwa aliyeelimika kwa maana ya mwenye uwezo wa kuchanganua jambo kwa usahihi na kulifanyia maamuzi sahihi ingeandikwa neno digrii???? Wapo form 4 ambao wako vizuri kichwani lakini tangazo linataka digrii hii maana yake vinatafutwa vyeti
 
Educated vs Schooled
Unaweza kuwa educated bila kupita kwenye majengo ya shule au chuo ila kupitia mitandao..kuchangamana na watu ..
 
Educated girls always wanahitaji educated boys ...schooled hawa Mara nyingi huwa hawaelewi kama wanahitaji educated boy au uneducated ila awe vizuri financially...wale girlz ambao ni uneducated and unschooled hawa huhitaji tu mwanaume kwahiyo hapa sifa ni jinsi me tyu
 
Sidai Oleng....

Hiki cha kujiongeza mtaani kaka.... vipi wewe unawaelewa wanavyosema educated man..

Maana najua wewe vidato unavyo.

Mimi sijawahi waelewa kaka, wanaitaji watu educated, smart na ma HB

Sifa ya ziada awe na six packs [emoji23][emoji23], sijui hata wanawazaga nini
 

Asante kwa kutetea sisi wa darasa la saba
 
mwanamke umewai siti ili kujibia

nipo hapa kusoma message
Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho
 
Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho
Dah...Bosi nawe ni KE? ...dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah..[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…