Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio diva masauti,,diva maediti,,, 😂😂😂😂Eti kuna mtu ananin'goneza wewe ndiye Diva masauti?
Khaa.
Kuna haja ya Dua kwani si tushayamaliza hapa? Huko ni utekelezaji tu.
Sio Mimi wao.....we huonagi matangazo ya kutafuta mume na mke humu yanavyokuwaga????Wewe umeamua kunin'gamua.
Kwahiyo sikuhizi hata wale wa Form six mmewaruka mnaanzia kwa madegree...
Hii habari sio nzuri.
HaahhahaaahahahahSisi uneducated tunakuwaga na wasiwasi kweli tukikutana na hao wanawake educated
Sidai Oleng....
Hiki cha kujiongeza mtaani kaka.... vipi wewe unawaelewa wanavyosema educated man..
Maana najua wewe vidato unavyo.
Haahhahaaahahahah
Sio Mimi wao.....we huonagi matangazo ya kutafuta mume na mke humu yanavyokuwaga????
Mtu anakwambia nahitaji mwanaume mwenye umri Fulani
Elimu awe na digrii au masta .......unadhani ingekua anatafutwa aliyeelimika kwa maana ya mwenye uwezo wa kuchanganua jambo kwa usahihi na kulifanyia maamuzi sahihi ingeandikwa neno digrii???? Wapo form 4 ambao wako vizuri kichwani lakini tangazo linataka digrii hii maana yake vinatafutwa vyeti
Mimi mwenye uneducated ....Usicheke mnatupa tabu sana sisi uneducated
HaahahhaahAsante kwa kutetea sisi wa darasa la saba
Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho
Dah...Bosi nawe ni KE? ...dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Educated Ni yule anayejielewa na kujitambua .at least mwanaume ujue knownledge Kama afya,siasa, history,sheria.sio lazima uingie darasani Ukiwa to mchaMungu unajua yote kuanzia science mpk history na Zaid ya yote ujue uhitaji wako wa kiroho
Mambo sista.I love a smart man who has brilliant content in his brain that we can discuss, argue and exchange with each other.
Dah..[emoji41]Kifupi mwanaume anaejitambua
Nini anataka,na anafanya nini kupata anachotaka
Ustaarabu/busara yake kwa mwanamke wake ama jamii yake inayomzunguka ukoje.
Kuna wanaume wengine hata kushaurika hashauriki linaingilia huku linatokea kule
Kwamaana nyingine muwage romantic sio muda wote makonki lols