Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
wamejificha, hawataki kukupa pesa ya sikukuu:; mi nimekuwa mpweke sana wiki hili bila wewe ujueJamani jamanii babaa...
Nipo hapa mimi wala sina wa kukula naye siku kuu babaa... Missing you more Sanchez magoli
Yaani acha kabisaaa.wamejificha, hawataki kukupa pesa ya sikukuu:; mi nimekuwa mpweke sana wiki hili bila wewe ujue
Tatizo we umeniweka mi wapembeni (substitute), haha unavunja nguvu na ari. Sema Mimi sijakukatia tamaa naamini ipo siku utakuwa wangu wa peke angu tu.Yaani acha kabisaaa.
Niko mpweke wiki yote hii, wala sikuoni nikajua na wewe umeleft babaa
Kwa nini unaniambia maneno magumu hivyo jamani! Naumia mimi ujue!Tatizo we umeniweka mi wapembeni (substitute), haha unavunja nguvu na ari. Sema Mimi sijakukatia tamaa naamini ipo siku utakuwa wangu wa peke angu tu.
Sijiwezi kwako.
Super star...Mimi sijawahi waza hilo jamanii le superstar.... Mradi kuna mapenzi, love, care n protection mimi inatosha kabisaaa!
Hivi mapenzi ni love eehh....Super star...
Hizo points zako haziingiliani kweli.
Mapenzi..love..care..protection..
Hiyo protection unamaanisha aweke mlinzi nje mkiwa mmelala ndani?
hahaha relax!! mawivu tu mama.Kwa nini unaniambia maneno magumu hivyo jamani! Naumia mimi ujue!
Sijawahi waza kukuweka pembeni, ni vile uko porini tunapishana humu tuu!
Hahahaha we jamaa unapenda kuniharibia sana
Punguza wivu babaa!hahaha relax!! mawivu tu mama.
haha pori nimewaachia watu mama; Mimi sasa nahangaikia na njia ipi yakupeleka nganga tu, we ndo inabidi uwe nyuma ya bega langu nisaidia ila wajificha sanaPunguza wivu babaa!
Umemaliza kupanda mahindi jamaniii?!
Trending issue kama zipi mndele wa kwetu!!Anaejitambua. Sio mtu hajui hata trending issues kwenye nchi yake wa kazi gani.
Trending issue kama zipi mndele wa kwetu!!
Niko nyuma yako babaa, ondoa shaka kabisaaa jamanii!haha pori nimewaachia watu mama; Mimi sasa nahangaikia na njia ipi yakupeleka nganga tu, we ndo inabidi uwe nyuma ya bega langu nisaidia ila wajificha sana
Dada ule sio umbea kweeliKama Biriani ya muuza biriani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo nishakukosa....
-Ukiniuliza tuna ndege ngapi sijui.
-Ukiniuliza reli yetu ya kisasa imeishia wapi napo hoi.