Ufafanuzi tafadhali.

Ufafanuzi tafadhali.

Yaani acha kabisaaa.
Niko mpweke wiki yote hii, wala sikuoni nikajua na wewe umeleft babaa
Tatizo we umeniweka mi wapembeni (substitute), haha unavunja nguvu na ari. Sema Mimi sijakukatia tamaa naamini ipo siku utakuwa wangu wa peke angu tu.

Sijiwezi kwako.
 
Tatizo we umeniweka mi wapembeni (substitute), haha unavunja nguvu na ari. Sema Mimi sijakukatia tamaa naamini ipo siku utakuwa wangu wa peke angu tu.

Sijiwezi kwako.
Kwa nini unaniambia maneno magumu hivyo jamani! Naumia mimi ujue!

Sijawahi waza kukuweka pembeni, ni vile uko porini tunapishana humu tuu!
 
Mimi sijawahi waza hilo jamanii le superstar.... Mradi kuna mapenzi, love, care n protection mimi inatosha kabisaaa!
Super star...

Hizo points zako haziingiliani kweli.

Mapenzi..love..care..protection..

Hiyo protection unamaanisha aweke mlinzi nje mkiwa mmelala ndani?
 
Super star...

Hizo points zako haziingiliani kweli.

Mapenzi..love..care..protection..

Hiyo protection unamaanisha aweke mlinzi nje mkiwa mmelala ndani?
Hivi mapenzi ni love eehh....
Kila kimoja kina nafasi yake bana... Yeye ndo awe mlinzi wangu!
 
Anaejitambua. Sio mtu hajui hata trending issues kwenye nchi yake wa kazi gani.
Hapo nishakukosa....

-Ukiniuliza tuna ndege ngapi sijui.

-Ukiniuliza reli yetu ya kisasa imeishia wapi napo hoi.
 
haha pori nimewaachia watu mama; Mimi sasa nahangaikia na njia ipi yakupeleka nganga tu, we ndo inabidi uwe nyuma ya bega langu nisaidia ila wajificha sana
Niko nyuma yako babaa, ondoa shaka kabisaaa jamanii!
Nafikiri tunapishana jukwaani tuu aki, na mie siku hizi nimekuwa msomaji zaidi
 
Hapa utanikosa kweli maana napenda kujua sasa nikikuuliza kitu ninachohisi unakijua halafu nikute hujui nitajisikia vibaya kwa choice ya mwanaume nimefanya
Hapo nishakukosa....

-Ukiniuliza tuna ndege ngapi sijui.

-Ukiniuliza reli yetu ya kisasa imeishia wapi napo hoi.
 
Back
Top Bottom