Wewe najua unajua..Jaribu kuuliza moja ebu.
Aise ingekuwa unatufanyia interview, Mimi mwenyewe nisingepita hapaKama Biriani ya muuza biriani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahhaaaAise ingekuwa unatufanyia interview, Mimi mwenyewe nisingepita hapa
I understand mama, hata usijalNiko nyuma yako babaa, ondoa shaka kabisaaa jamanii!
Nafikiri tunapishana jukwaani tuu aki, na mie siku hizi nimekuwa msomaji zaidi
Biriani imefanye kwani mame mkuluHahahahhaaa
Sawa babaaI understand mama, hata usijal
Acha tu mbwangaBiriani imefanye kwani mame mkulu
kwa jinsi nnavoona thread zakeKwani mkuu huyu member mwenzetu ni mwanamke?
Nilikuwa nakuhamu wewe tu Leo nimefurahi sana, made my day today. Mbona hunialiki lakiniSawa babaa
Habari za wewe lakini
Mefurahi pia kupata walau dk kumi na wewe leo babaa.Nilikuwa nakuhamu wewe tu Leo nimefurahi sana, made my day today. Mbona hunialiki lakini
hahaha naomba nikufungulie banda la biriani tafadharAcha tu mbwanga
kweli??Mefurahi pia kupata walau dk kumi na wewe leo babaa.
Karibu sana jamanii, mimi bado niko shamba ujue, narudia kupanda mvua ziligoma huku
nisamehewe tafadhaliHadi nimeona aibu.
Kweli kabisaaa....kweli??
Ngoja nifanye hivyo mkuu.Pita pita katikati labda utan'gamua walichosema.
haha najua wataniaKweli kabisaaa....
Hata ile midoli haikufanya kazi kabisaaa
Mwanaume kujiamini, tena hao wasomi ukisikia wanaotoka nao unabaki kuduwaa. My friend has masters na anaitafuta phd now ila ameolewa na form 4.Sisi uneducated tunakuwaga na wasiwasi kweli tukikutana na hao wanawake educated