Ufafanuzi tafadhali.

Ufafanuzi tafadhali.

Hapa utanikosa kweli maana napenda kujua sasa nikikuuliza kitu ninachohisi unakijua halafu nikute hujui nitajisikia vibaya kwa choice ya mwanaume nimefanya
Jaribu kuuliza moja ebu.
 
Sisi uneducated tunakuwaga na wasiwasi kweli tukikutana na hao wanawake educated
Mwanaume kujiamini, tena hao wasomi ukisikia wanaotoka nao unabaki kuduwaa. My friend has masters na anaitafuta phd now ila ameolewa na form 4.
 
Back
Top Bottom