Ufafanuzi tukio lilotokea kwenye Anga la Tanzania, Teknolojia inazidi kukuwa, Watanzania tunaachwa nyuma tunabaki kushangaa

Uko sahihi, walaji wanajali zaidi huduma wanayoipata kuliko miundombinu yake, maana hata kutofautisha minara ya mawasiliano eti huu wa Tigo, Vodacom, Zantel au Ttcl au hapa imepita cable ya mkongo wa taifa sidhani kama inawasaidia.
 
Sema nape anakula vijisenti pamoja na hivi vikampuni uchwara vya simu hapa bongo ndo sababu analeta udananda sana. Kwanini nchi zingine vibali vikamilike chap chap na tayari wanatumia hizo internet za Elon afu Tanzania ambao tulikua moja ya nchi za mwanzo kabisa kuhusishwa na hyo internet et ndo mpaka leo vibali vinashughulikiwa
 
Na wewe umekubali eti afadhali.....hiyo ni political promise mzee.....hakuna cha kukamilisha taratibu hao jamaa umepigwa pin kwa manufaa ya wachache
Ukiona umeandikiwa umetumia 75% ya bando lako la internet. Ujue na Nape naye kuna gawio lake linaingia
Mpk leo Paypal, huduma ya kupokea pesa bado kitendawili. Sasa hao Starlink itaharibu mambo mengi sana ya viongozi mafisadi ndiyo maana hawaitaki
 
Umemsahau Baba levo mkuuπŸ˜…
 
Hii ndiyo haitaki kabisa Nape
 
Ukiona umeandikiwa umetumia 75% ya bando lako la internet. Ujue na Nape naye kuna gawio lake linaingia
Mpk leo Paypal, huduma ya kupokea pesa bado kitendawili. Sasa hao Starlink itaharibu mambo mengi sana ya viongozi mafisadi ndiyo maana hawaitaki
That's right braza.
 
Kwani waganga wetu wa kienyeji wanasemaje?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko Kwa wenzetu, gharama zake zinakuaje uki compare na internet ya mitandao ya simu???
 
WAtz mna pesa za ku afford packages za starlink kama hadi sasa kuna watu wanajiunga vifurushi vya jero na hapo unakuta mtu analipa deni la nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…