Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Kama kweli Zitto anaipenda Chadema na hizi vutugu wanazomganyia katibu mkuu wake kama angekuwa mzalendo angeshatoa tamko la kulaani vurugu hizo.
Si rahisi kuona boss wako anafanyiwa vurugu kwa jina lako na kama unamprnda lazima utaingilia kati, ukikaa kimya basi we ni muhusika wa vurugu hizo moja kwa moja.
Basi ikiwa ni Kweli kuwa Zitto kwa Chama baadae, basi atoke chadema akaanzishe chama chake na awe mwenyekiti wa hao wanaofanya vurugu wajipatie vyeo vyovyote watakavyo.
Kwanini anayaka kubaki chadema??
Hata akianzisha chama chake ubunge hapati, na ameshasoma alama za nyakati tangu 2010, sisi tunaoishi mikoa ya huku tunajua kwanini hapati ndo maana anataka aendelee kuwa mwananasiasa kwa kofia ya uenyekiti wa chama chenye nguvu.