Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Hakuna wa kumfukuza zitto chadema zitto ndiyo chadema akiondoka kinakufa.
 
Mnafiki anafukuzwa tu hana thamani tena ndani ya chama zaidi ya kuleta mifarakano na kukisaliti chama. Wanachama wengi tumeshakaa mkao wa kushereheka mara tu itakapotangazwa rami kwamba msaliti wa chama amefukuzwa rasmi.

Siku zimebaki ngapi? ZZK achukuliwe maamuzi na Secretariet ya CHADEMA kwa kuwa mpaka sasa hajatoa maelezo ina maanisha Ujeuri, sasa basi kama niaminivyo kiongozi bora ni yule anayetoa maamuzi magumu . . . . . Tunawasubiria kwani mkimwacha mtakuwa mnamwogopa na kufukuzwa ndio haki yake ya Msingi endapo asipotoa maelezo . . . . Goood Speed to 2015, Diversion Ahead.
 
Diversion ahead....kanda ya ziwa tunasubr mmfukuze tu,hlf tuwaoneshe nguvu yetu,tunajua mlchomfanyia bob makan,mara kla mwny uwezo wa kureason n msaliti
 
WanaJF naumba kufahamishwa. Zitto na wenzake wawili walivuliwa nyadhifa zao na Mbowe (MKiti CDM) au walivuliwa nyadhifa na kamati kuu ya chama hichi chenye wajumbe 30+? Tena tuliambiwa kwamba kura ya siri ilitumika.

Maana naona jamaa humu wanatoka povu jinmgi sana kumtupilia lawama Mbowe kuwa yeye ndiye aliyewavua nyadhifa wanachama hao.
 
WanaJF naumba kufahamishwa. Zitto na wenzake wawili walivuliwa nyadhifa zao na Mbowe (MKiti CDM) au walivuliwa nyadhifa na kamati kuu ya chama hichi chenye wajumbe 30+? Tena tuliambiwa kwamba kura ya siri ilitumika.

Maana naona jamaa humu wanatoka povu jinmgi sana kumtupilia lawama Mbowe kuwa yeye ndiye aliyewavua nyadhifa wanachama hao.

Mikakati ya mbowe...
 
hata mie naweza ku copy kubadilisha na ku paste...soma email hioo ushahidi wa zito
:closed_2:

Ndiyo CDM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " utani ujinga " <[email protected]> >
To: “uwongo email” < [email protected] >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, wajinga waliwao <[email protected]> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na mbw mh. Aals namtafuta punde

Fake email

2013/11/17 uongo ujinga< [email protected] >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Aals ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. Mkweli na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, aals

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, emailcopy <[email protected]> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa ukweli abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

Fake

Endeleeni ila mtaula wa chuya


Hii ndio email ndio ushahidi wenu mnafanya watu wehu wajinga . Tajeni sababu sio kuleta email za uongo hapa sasa na hio ni ya kweli japo juu

​

Kinachoshangaza haya yanapangwa na watu wanaotaka tuwape dhamana ya kuongoza nchi.... Uongo wa kitoto... mipango ya kijinga... wanawafanya watanzania wajinga hii ni dharau ya kiwango cha juu.
 
shoga wewe hivi unajua maana ya kuwa katibu mkuu??? Zitto alikuwa ni naibu katibu kwenye magazeti tu; lakini uhalisia wenyewe haijawahi hata siku kukabidhiwa majukumu ya chadema wakati Dr.W.Slaa anapokuwa safarini; majukumu alikuwa anaachiwa John Mnyika sasa kwa akili zako za kishoga hiyo ndiyo maana ya unaibu???

tatizo lako unt chama unhikishwa ukuta
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako unt chama unhikishwa ukuta


Shoga fanya tukutane ili tujuwe nani kati yetu anashikishwa ukuta! Mtoto una macho kurembua mithili mjusi malaya leo unataka kuleta za kuleta; malazi; usafiri na chakula pamoja na posho ya kujikimu juu yangu!
 
JF.......!
Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali.

Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe,

Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania.
Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja.

Shardcole@Tabora1
 
Alichofanyiwa mpaka sasa ni somo kubwa sana kwake na siku nyingine akicheza atajua kabisaa ni sawa na kuchezea dhababu chooni. Inatosha kurupushani zake anaweza kuzipimia kama amefanikiwa au laah na kumrusisha katika stand yake.
 
...

....Pamoja Kamanda ngoma isambile... nyoka kashapondwa imebaki kuprove tu!!!
 
Mbulula wewe, unayasema hayo ukiwa umekula tumbaku au ugolo. CDM tatizo ni ubinafsi na njaa ya madaraka kuanzia kwa MBOWE kushuka chini.
 
Unachelewa kuitupa hio kadi, maana sioni haja ya wewe kutaka urudishe kwani hata ulipoichukua hukutushirikisha. Iweje kwenye kurudisha utake tushiriki??
Chadema hatuabudu mtu,we nenda tena usikawie maana ulikuwa kenge katika msafara wa mamba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom