Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
45% cdm ni Kigoma!!kazi imelala hapo,kwa anayejua maana ya politics atanielewa namaanisha nini!!
unamaanisha pumba tu,wanachama wa ccm wanampenda sana zitto halafu hawataki ahamie kwao,funny!!!
 
Badaa ya kikao cha kamati kuu na maamuzi yake kusomwa kwa wanahabari, ilitegemewa kuwa kauli ile ingewaprovoke wawili hao na kutangaza kuihama CDM. Huu ungekuwa mwanzo wa mwisho wao kisiasa maana vingozi wa CDM wangezunguka nchi nzima wakitangaza "madhambi yao" na kushindwa kujitetea mpaka wameamua kujiondoa chamani. Wawili hao waling'amua mtego na wakatangaza kuipenda chama na kutokutoka ndani ya CDM hivyo wenye maamuzi ya hatima yao ni viongozi wa CDM. Kumbuka wanachama wa CDM na wasio wanachama wamegawanyika kuhusu suala hili. Hivyo, ZZK akifukuzwa na CDM uanachama, waliokuwa wanaona ameonewa wataichukia chama na kuondoka naye. Akiachwa ambayo ndo naona ni uwezekano mkubwa wasiompenda wataona viongozi wao hawana maamuzi na hivyo ZZK atakuwa ameshinda. Wanachama hawa wataambiwa kuwa wamemwacha kwa makusudi na "watamshughulikia" vilivyo asikukuruke. Ni dhahiri CDM wataamua kumwacha ZZK kwa kisingizio kuwa wanampa second chance huku wakijua kabisa hawana cha kufanya maana nao hawataki kuona chama "kinawafia" mkononi. Hivyo, ZZK ataachwa kama mwanachama wa kawaida na kupewa onyo. Dr. Mkubwa anaweza kuvuliwa uanachama maana hana madhara sana kwa umma.
Karibuni kwa tafakuri.

Ilitegemewa na nani?

Uwezekano mkubwa wa kuachwa nani kakuambia? Lazima ale kiburi chake, akaanzishe chama cha kwake ambacho anafikiri kitaongozwa na viongozi wanaojiona bora kama yeye
 
45% cdm ni Kigoma!!kazi imelala hapo,kwa anayejua maana ya politics atanielewa namaanisha nini!!

Hii ni kwa mujibu wa utafiti wako! Kama hizo ndo takwimu basi nusu ya wabunge wa kigoma wangekuwa chadema!
 
Hapa naona hamna Chama kufa,ila cha muhimu ni chama kuzunguka maeneo yote Zitto anakofikiri ana popularity na kueleza ukweli.
 
Tunachotaka ni democrasia ndani ya chame meku, hata kama alikuwa na wabunge 700 bado haina maana ya neno democracy.

Demokrasia ipi hiyo chalii yangu. Uchaguzi ulifanyika na mbowe akashinda na atakua madarakani kwa miaka 5 saa shida hapa iko wapi. Pia katiba inamruhusu mwanachama kugombea bila kikomo hata kama ndio mwkt sasa mnatoka povu la nn.
Bila shaka mkakati wa kukidhoofisha CDM umekita kwny uchaguzi wa nafasi ya mwkt ndio maana kila kukicha mnaota uchaguzi ufanyike lini. Acheni kupiga domo na kujishughulisha na mambo ya wengine yasiyowahusu
 
mtazamo wako uko sawa kabisa mkuu ndicho kitakachotokea wakifanya tofauti chama kinakufa asubuhi.
 
Safari ya Zitto imeshawadia, yeye pamoja na Lumumba, TeamZitto ndiyo walioshiriki kuiandaa!!! Tunawatakia Safari njema huko waendako!!
 
Unajua hata mke wa mwenzio unamtamani akishanenepeshwa na mmewe ila ngoja atalikiwe uozeshwe mkeka uone kama utatamani hata kumwona!
 
Safari ya Zitto imeshawadia, yeye pamoja na Lumumba, TeamZitto ndiyo walioshiriki kuiandaa!!! Tunawatakia Safari njema huko waendako!!

mkuu umenena kweli hakuna wa kumzuia zitto kuwa mwenyekiti wa chadema tofauti na hapa chadema kinakufa.
 
Wasirra alishatangaza kwamba - CHADEMA ITAKUFA KABLA YA 2015, kumbe hili ndiyo lilikuwa dili lao.

Wasira ni mwanafalsafa mzuri. alijua kuwa chama kinapoelekea kuzuri lazima minyukano iwepo. hivyo kama hakina mfumo madhubuti wa kushughulikia hiyo minyukano pamoja na mwenyekiti madhubuti, hakika lazima kife tu
 
Mbowe hajawahi kuwa serious na kuwatumikia watanzania...
 
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wako! Kama hizo ndo takwimu basi nusu ya wabunge wa kigoma wangekuwa chadema!

Acha siasa za kfuata mkumbo ,Machali na Kafulila ndo lilikua chaguo la watu wa kigoma katika ngazi ya ubunge
 
unamaanisha pumba tu,wanachama wa ccm wanampenda sana zitto halafu hawataki ahamie kwao,funny!!!
Jifunze kuishi na mama yako bila kumchungulia!!toa hoja na sio kutoa povu tu kwa siasa za mkumbo wenzenu wakiwa wanchuma saccoss yao
STUKA WALIHITAJI "MTONYO" wa ZZK wafanye marekebisho
 
Wasira ni mwanafalsafa mzuri. alijua kuwa chama kinapoelekea kuzuri lazima minyukano iwepo. hivyo kama hakina mfumo madhubuti wa kushughulikia hiyo minyukano pamoja na mwenyekiti madhubuti, hakika lazima kife tu

Utakufa wewe kabla chadema haijafa!
 
Acha ushamba wewe unamtishia nani kuwa angani saa 8? Unajua wengine tupo wapi na tulipaa masaa mangapi? Yawezekana mwenzetu umekwenda nyampulkano kwa ungo ndio maana unaaga unasahau kuwa JF ipo Worldwide isipokuwa muendako na nyungo kwasababu ya miundombinu mibovu kwenye nchi inayoliwa na majambazi wenzio CCM. Halafu hizi taarifa kuwa Mnyika ndo alikuwa akikaimishwa kumbe mmeo alikulalamikia pia? Wanaume wengine bana, yaani hadi mambo ya ofisi unayapeleka kwa vimada? Hovyo kabisa!

Mchumba usiwe na wsiwasi; nipo mjini lete habari, mtaolewa mwaka huu kwa njaa zenu; ile ilikuwa taarifa nakupa ili usione nakukimbia; sasa kwani ni uongo kama John Mnyika ndiye aliyekuwa akikaimu nafasi ya katibu mkuu? ninavyofahamu mimi Zitto hakuwa katibu mkuu sasa hata leo mkidai eti mumemvua vyeo ni zile akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa!
 
Last edited by a moderator:

Dada chama unajua unachoandika kweli?
Too Low. Unapoteza tu mda wangu na huna maana. Tupa kule. Rubbish!
 
Dada chama unajua unachoandika kweli?
Too Low. Unapoteza tu mda wangu na huna maana. Tupa kule. Rubbish!

shoga wewe hivi unajua maana ya kuwa katibu mkuu??? Zitto alikuwa ni naibu katibu kwenye magazeti tu; lakini uhalisia wenyewe haijawahi hata siku kukabidhiwa majukumu ya chadema wakati Dr.W.Slaa anapokuwa safarini; majukumu alikuwa anaachiwa John Mnyika sasa kwa akili zako za kishoga hiyo ndiyo maana ya unaibu???
 
Last edited by a moderator:
Siku zimebaki ngapi? ZZK achukuliwe maamuzi na Secretariet ya CHADEMA kwa kuwa mpaka sasa hajatoa maelezo ina maanisha Ujeuri, sasa basi kama niaminivyo kiongozi bora ni yule anayetoa maamuzi magumu . . . . . Tunawasubiria kwani mkimwacha mtakuwa mnamwogopa na kufukuzwa ndio haki yake ya Msingi endapo asipotoa maelezo . . . . Goood Speed to 2015, Diversion Ahead.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom