Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa
Hili tukio mi naona limegusa wajinga wachache kitaifa,kwani zito amepata umaarufu upi na kwa lipi?ama kwa kuandikwa andikwa magazetini?hata mjinga pia anaweza kuwa maarufu itategemea na hao wanaomsifia akili zao ziko vipi,mzee liyatonga mrema alipata umaarufu wa vitendo na sio maneno lakini leo hakuna mtu anaweza kumskia mrema anaongea na akawanyamazisha wenziwe ili wamskiize?zito aliwahi kuwafanyia nini watz?ama -------- husadik kila jambo bali mwenye hekima hutafakari.