Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.

Kupatikana kwa laptop ya Mwigamba Kweli kumezaaaa
 
Bado Chadema tunahitaji ...straregy nzuri zaidi na namna ya kuendelea kuwaunganisha wanachama na wapenzi wa chama waamini maamuzi haya ni kwa manufaa makubwa ya badae, c kila mwanachama/mpenzi na shabiki ana akili ya upembuzi kuona kwa jicho la tatu kuwa kilichofanyika ni sahihi.

Nasema hv maana nimeshaanza kuiona mtaani huku.

Ushauri wangu kwa Chama wakati maamuzi haya yakiwa yametoka watafute njia bora tena ya kuwaweka pamoja wanachama naakamanda, ili wajue, walilofanya ni SAHIHI.

Binafsi, naunga mkono 100% maamuzi ya chama.
Hata kama ni mbowe ndie angefukuzwa nicngeona shida maana nipo kichama zaidi kuliko mtu mmoja mmoja.

Mwisho watu wakumbuke, mafanikio huja pale tunapochukua maamuzi magumu, hata wasipoelewa LEO kesho watu wataelewa.

China enzi hizo haikumuelewa Mao Tse Tung, Leo kila mtu anamsifu bila yy China isingekuwa ilipo.

Keep running CDM
 
Sijui chama na Ritz mtaponea wapi, Mr Kapigwa chini.

nipo safarini kidharura muda sio mrefu nitakuwa angani kiasi cha masaa takriban 8 hivi; Zitto alikuwa naibu katibu mkuu? sikulijua hilo; ninavyojua mimi akisafiri mchumba majumu alikuwa naachiwa John Mnyika; mtatengeza kila aina ya hadithi lakini kwa wenye akili timamu wanaujua ukweli; mkuu Ritz nilindie mchumba asijipoteze nitalipia usumbufu wowote utakaojitokeza.
 
Last edited by a moderator:
Huu siyo ushindi wa CHADEMA ni makosa makubwa tukisema hivi huu ni ushindi wa WATANZANIA WOTE WANYONGE


ni kweli kabisa kamanda, huu ni ushindi wa wanaharakati wote wanamapinduzi wapena maendeleo, watetezi wa wanyonge na wasakatonge woote... Hongera sana kamati kuu ya CDM.. Leaders who dares bila kujali umaarufu wake, hakuna mtu ndani ya CDM anayeweza kuwa marufu kuliko CDM yenyewe... Kwa uthubutu huu naamini mnaweza kushika dola ya nchi yetu na mkafanya maamuzi magumu kwa maslahi na mustakabali wa taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki CDM...
 
Leo hii asubuhi katika pita pita zangu za huku na kule, nilicho shuhudia ni kwamba watu wengi wanaamini Zitto ni msariti na wengi waowamekua wakimkandia kwa zile tuhuma ambazo CDM imekua ikizitoa dhidi ya Zitto.

CDM kama taasisi ikae ikijua kama tuhuma walizo elekeza kwa Zitto ni za kubuni na ni uzushi ikae ijkujua itafikia tamati, maana uongo auna uhai wa mda mrefu kama ukweli. Na hapo hawa wanao mkandia Zitto ndio watakua adui zao wakubwa na matokeo yake chama kitakufa.

Na kama tuhuma ni za kweli basi Zitto inampasa kukili madhaifu na ajisafishe, maana hakuna binadamu mkamilifu. Nae endapo hato fanya hivyo atakua na hali mbaya kisisiasa.

Zitto, wananchi wenye imani na wewe bado tupo wengi kutokana na utendaji wako, chukua fursa hii kuweka mambo sawa.
 
Lakini nani anaweza kuwa kauanda huu waraka wa siri, maana mm hayuko katika kuuandaa zaidi ya kuujua.

Akili za muuandaji vipi? maana kumtafutia mm2 na mm3 million 2 mbili halafu utegemee wa kusaidie kukamilisha jukumu zito na kubwa hivi ni wendawazimu wa aina fulani hivi.

Huo waraka uliandaliwa kama ulinzi tu incase unapatikana....hii ni kwa mawazo yangu!

Ukiusoma unagundua vitu vingi mno.... Wahusika waliuandika makusudi ili ukipatikana ionekana upande wa pili ndiyo wenye tatizo...

After all ili mfanye mapinduzi nani kakwambia watu wana document strategies? Kwa sababu ipi? Think big hata huko kufukuzwa walishajiandaa na CDM iweke mikakati ya ku counter act after math ya hii movie....

One thing I can guarantee kuna sehemu watajichanganya and at that particular point CDM will rise and roar like a hungry lion!
 
Said arf anasema amemua kujiuzulu umakam mwenyekiti kwa sababu maamuzi na uchaguzi wa viongozi yanafanywa na mtei kutokea tengeru

Kuna wakati huwa najiuliza kipi hasa kinaku-motivate ukeshe hapa ukichangia uh@ro, kujitokomba, njaa, kulinda biashara zako haramu? Mh, wewe ni zaidi ya buku 7 mkuu! Ngoja tusubiri na tutona.
 
nipo safarini kidharura muda sio mrefu nitakuwa angani kiasi cha masaa takriban 8 hivi; Zitto alikuwa naibu katibu mkuu? sikulijua hilo; ninavyojua mimi akisafiri mchumba majumu alikuwa naachiwa John Mnyika; mtatengeza kila aina ya hadithi lakini kwa wenye akili timamu wanaujua ukweli; mkuu Ritz nilindie mchumba asijipoteze nitalipia usumbufu wowote utakaojitokeza.

Huoni aibu hujumu maendeleo ya taifa lako? Mtu gani makini asiyependa ushindani? Kutwa kucha mko in front line kuvuruga upinzani huku mkijua mnacholinda ni ubinafsi tu na siyo welfare ya watanzania?

Listen very carefu.., If you think huu upinzani mnaoupata architect ni CDM mmepotea... CDM is just a means to justify the end lakini ita has nothing do with the concept and the vision of the concept... Mtajashangaa what will come after... CDM hata wakiamua kulala bila kufanya chochote mageuzi ni lazima siyo hiari! I am here to stay na will make sure this happens with or without CDM!
 
Last edited by a moderator:
The rise and fall of zitto kabwe, kuna watu wamemwaga damu kwa ajili ya ukombozi, mizimu yao inakesha nyumbani kwa zitto kabwe, ofisini, katika gari,mpaka kieleweke na haki ionekane
 
Kama zzk kaonewa mfuatano wa tuhuma mbalimbali alishughulika nazo kwa kiwango gani?Japo mtikisiko ni mkubwa,sijui kama umaarufu wake ni muhimu kuliko chama.people's! power!
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Hujitambui we Chura
 
Tunakosea kama binadamu. Kama alikili amehusika na uo waraka basi kuna uwezekano akaili pia na mengine. Cha msingi kama nae pia atakua na nia njema na Tanzania na ni mpenda mabadiriko haitokua taabu kujirudi na kurudisha imani iliyopotea kwa watanzania. Mkuu toka umezaliwa haujawahi kusamehewa?

mkuu kama ulifuatilia vizuri Zito alikili kuhusika na waraka uliomuondoa, hilo silo jambo la kutilia shaka. Amevuna alichopanda.
 
hata mwenye mtindio wa ubongo anajua hila Zitto kuwa ni msaliti
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom