Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?

hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.

Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.

Go to hell.. nyie CCM hamna jipya
 
Last edited by a moderator:
Tetesi zinadokeza kwamba bedera za lumumba kupepea nusu mlingoti kwa siku 7 .
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh

Lissu anatumiwa tu.

Unakumbuka Kitila alivyotumiwa kibadilisha matokeo ya viti maalum ili watoto wa Ndesamburo na Mtei wapate Ubunge?
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Why you're so desperate brother....!???
 
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.
Mchezo upi weka ushahidi hapa sio unapayukapayuka "no research no right to speak"period...
 
duuuh Zitto c mtu ni mnyama ndani ya chama chetu ,,,,CHADEMA naipongeza hayo ni maamuzi sahihi Kwa muda sahihi
 
Ukitaka kumuua nyoka ponda kichwa chake......maamuzi ya kamati kuu ya chadema ni sahihi wamemuua nyoka!
 
Bavicha povu la nini? Zito anatumiwaje na Ccm kuihujumu chadema?

Hahahahahah...Zitto ni jembe sana...anauzika popote...Karibu CCM zitto...karibu CCM ...Wewe utakuwa mgombea wetu wa Urais mwaka 2015...tunakupenda...tunakuamini Zitto........Zitto for CCM Presidency 2015
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
kwa hiyo unataka kubisha au? kama mnampenda sana zitto mchikueni
 
Kwa nini watu wa ccm wamechukia Zitto kuenguliwa kwenye nafasi ya kiongozi wa chama! Tafakurini!!
 
Hiki ni kifo cha mende ,yaani akina mbowe wamebambwa wanapongezana eti tumeshamuonyesha !
 
Sijui chama na Ritz mtaponea wapi, Mr Kapigwa chini.
 
Last edited by a moderator:
Hizi siasa chafu za chadema mwisho wake ni 2014.

Yani kila mtu alijua watakuja na adithi za waraka. Mbona awasemi ndani ya waraka kulikuwa kuna nini?

Na huo waraka uliandaliwa kwa lengo gani na umfikie nani?

Hii chadema ya kina lema ina matatizo sana.

Mnazidi kuongeza mda tu,lasttym mlisema mwisho wa chadema ni 2013 now 2014,mwisho wa siku 2015 inawala mwanzo mwisho.

Umeambiwa huo waraka utasambazwa kwenye vyombo vya habari ili uone acha kujiziwisha ww
 
Marcpolo,,,,vipi wewe ushagonga viroba nn ,,,,kapige chabo kule boss wako anabaka
 
[h=5]{Anasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa MM ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, M1 ni Dr. Kitila Mkumbo, M2. Hajajulikana na Dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa M2, na M3 ni Mwigamba.}
[/h]
INA MAANA KITELA MKUMBO AMEKIRI KUMFAHAMU MM, M1 NA M3 LAKINI HAMFAHAMU LAKINI M2,,,KWELI KAZI IPOOOOO. MUNGU IBARIKI CHADEMA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom