Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Chadema hakitawataka wanachama anaosita sita, waoga wa kuikosoa ccm kwa maslahi yao binafsi, hivi mwanachama kama Tundu Lisu,John Mnyika, Lema, unaweza kumfananisha na zitto ktk kukikosoa ccm! Zitto yuko kimaslahi zaidi, hivyo hastahili kuwa naibu katibu mkuu, awe tu mwanachama wa kawaida. Tunataka watu ambao wako tayari kufa kwa ajili ya chama
 
Mkuu Ruttashobolwa umeambiwa Zitto aliomba mwenyewe kujiuzulu naasi zake zote za uongozi ndani ya chama lakini wewe unasema walimtafuta.

Ok assuming kwamba ni kweli walimtafuta na wamempata, sasa utaungana naye kama ataamua kuondoka Chadema? kwakuwa unaonekana wewe unamfuata mtu na sio kufuata misingi.

Tahadhari mkuu usijekujikuta unakanwa mchana kweupe kama walivyowahi kukanwa wengine.

Kwani huyo jamaa uliyemquote ni mwanamke?
 
da_vinci_last_supper_annotated.jpg

asante sana mkuu Safari_ni_Safari
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini hii habari imewasikitisha sana CCM??

Unakumbuka wakati Dr.Slaa anatangazwa kupeperusha bendera ya CDM ulitoka ushauri wa kishetani toka CCM eti anafaa saaaaana kuamusha upinzani bungeni!
 
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??
 
Lema kaja juzijuzi lakini waliokijenga chama wanadharauriwa kwa ajili yake!
 
CHAMVIGA
===>Mgosi unanitia aibu sana,kutumiwa sio lazima ukapigane ngumi,hata kutoa taarifa za vikao vya chama ni kutumiwa,umesikia kabisa kuna connection hii M1==>M2==>M3 na hapo kuna uwezekano wa mpaka kuwa na M23 ambao inawezekana ikawa ni wewe kada na mfurukutwa wa magamba.
===>Kupata taarifa za ndani za taasisi pinzani ni faida mojawapo ya kupambana na adui yako.
Hapo vipi umeelewa kidogo au niendelee kukuelewesha?

Cheche hujanijibu hata kidogo. Nataka kujua zile purukushani zenu eti ccm inamlipa zitog ili kuiua chadema ushahidi ukowapi? Hivi ukihojiwa kama ni mahakamani utatoa hizo MMM zako? Na kwa taarifa yako zito atachomoa kwenye hili na kuwa hero.
 
Last edited by a moderator:
sasa kama waraka wa siri wa zitto haukutengezwa wala haukutoka makao makuu ,je nini kinawapa imani kuwa huo waraka wa siri wa kukivunja chama vipande vipande utakuwa unawahusu kina kitila mkumbo?

Huo wanaosema haukutoka Chadema ni ule uliovuma humu siku chache zilizopita,huu unaozungumzwa leo haukuwa umevuja humu ndio tunausikia leo mkuu.
 
sasa kama waraka wa siri wa zitto haukutengezwa wala haukutoka makao makuu ,je nini kinawapa imani kuwa huo waraka wa siri wa kukivunja chama vipande vipande utakuwa unawahusu kina kitila mkumbo?

..,Tulia bwana mdogo waliofanya maamuzi wamechunguza wakajiridhisha kabisa wewe sisimizi na akili zako za kimagamba kaa pembeni wanaume waendeleze harakati za kuikomboa nchi yetu.
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
 
Hizi siasa chafu za chadema mwisho wake ni 2014.

Yani kila mtu alijua watakuja na adithi za waraka. Mbona awasemi ndani ya waraka kulikuwa kuna nini?

Na huo waraka uliandaliwa kwa lengo gani na umfikie nani?

Hii chadema ya kina lema ina matatizo sana.

Wewe ni Mkabila kama jina lako lilivyo. Angalia sababu sio utengeneze za kwako
 
M$Death........ Akili ndogo inatawala akili kubwa, ZZK awe repaced na Lema itakuwa powa sana.
 
Wazalendo wa kweli wataendelea kukiimarisha chama.. Ila wasaliti watabainika hata kwa mwendo wao tu.. Wafia chama bao tupo, na tutakifia kwa kukupigania kwa nguvu zote
wasaliti wote weka kando.
 
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Wamesema huo waraka utasambazwa vyombo vyote vya habari ili tujionee!! Subiri uwekwe humu tujadili zaidi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom