Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
zitto ubinafsi wa kujijenga yeye ndo umemuua kisiasa atachomoka katika hili?
 
mliotoa lawama kwa zito kushindwa kuhudhuria kikao jana mmeona?????aisee!!!
 
Yaani mwanasheria anatumiwa kweli ndo akili ndogo kuongoza akili kubwa!

Swala la zzk kujiuzulu ilikuwa baada ya ule waraka wa uongo ambao chadema uliikanusha kuwa haujatoka kwao.

Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu!

Suiri time yako!
 
chadema inakufa kifo cha mende!
dead-cockroach.jpg
 
Mh. Mbowe anasema waraka wa siri za Zitto haukutengenezwa wala haukutoka Makao Makuu. Alikuwa akijibu swali la Mayage kuhusu zitakapopatikana fedha za kutekeleza mpango huo
 
Mkuu naona umebadilisha ID, kulikoni? Ila hongera mpango wenu umefanikiwa.

Chaging ID hata siku moja tangu naingia hapa jf and for your information nina kadi ya CCM since 1999 sijawahi kuikana na inalipiwa Ada ya uanachama since then so your myopic mind ukiona mtu anakosoa lisilo sahihi la CCM then ni CHADEMA ptuu! Kawaulize wenzio kina Ritz who am I.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom