Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Ha ha, dah....mpango wa Mungu ni wamungu tuu...poleni sana viongozi. Naahidi kuongeza fedha yangu ya kuchangia chama
 
hamna m23 kweli?? Hahaha (natania tu)
 
Twahitaji kusikia upande wa pili wa stori hii, baada ya kusikia kutoka kambi ya kaskazini!
 
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.

Mbona ume-panic mpaka unaandika bila punctuation.....
 
Half thinking capacity of your brain council will endanger you. CDM is more than those people you think.

Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.
 
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.

Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.


Hahahhahhaa utasubiri sana
 
Hatimaye ule mkakati wa kum paralize Zitto umefanikiwa baada ya muda mrefu.
 
nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?

hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.

Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.

Don't panic,hizi updated zinaletwa Kama zilivyo toka kwenye source ,hivyo ni vyema usubili hadi mwisho ndipo uanze kuchambua maoni na mitazamo tofauti na si kutupia lawama za moja kwa moja kwa Kiruhenzi
 
Last edited by a moderator:
Judas!!!!

da_vinci_last_supper_annotated.jpg
 
maccm wanafiki kwani huu mkutano unawahusu nin?
 
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.

KAmuulize Kikwete Ndimi mbili ni akina nani!! Mbona hakuwataja?? CDM hakuna uzushi labda kama Sembe imekujaa ubongoni!!
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
Kumbe eeh! Sasa buku 7 kelele zao za nini wakati wahusika walishajitambua? Huwez kutenda ovu la kuwaumiza mamilioni ya Watanzania wanaotaka maisha bora kisha ovu hilo likabaki siri,utaumbuka tuu siku moja na heshima itapotea.
Usaliti ni sifa mbaya kokote uendako labda ujishushe na kuomba usamehewe kama binadamu mwenye mapungufu.
Ni sawa na mke anayeachwa kwa sifa ya ukahaba haoleki tena huyo! Au akioleka mume mpya hana amani naye kabisa.
 
Hapa ndo penye pont, kumbe walikuwa wameshajua kinachotokea..

wewe uwajui chadema walivyo wazushi. zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuhusishwa kwenye mambo ya kijinga na chama kika kaa kimya alaf baadae ndio kika kanusha. zitto na kitila wasingeweza kuvumiliwa kwa kuwa wao hawako kumbembeleza mbowe au slaa. hivi ni vita vya posho, uvunjaji katiba na ruzuku.

Dr slaa endelea kutumbua sasa hakuna wa kukuuliza.
Godbless J Lema endelea kurushia watu matofali mpaka uhakikishe ambo hamwataki wameondoka.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom