Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.
nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?

hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.

Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
acheni uongo si mseme mmetumia hule waraka wa report ya siri. na cha kushangaza zaidi hakuna aliye sikilizwa na tunaomba kujua huo waraka una husiana na nini? semeni kweli ndio hule waraka ulio wekwa humu.

Sio "hule" bali ni "ule"
 
Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.

Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha

Ubarikiwe Kurugenzi ya Habari kwa Update!Pendekezo ili kuwe na flow nzuri napendekeza updates uzifanye kwenye Mwanzo wa Uzi baadala ya kutuma vipande!

Asante kwa kazi Nzuri ............:A S 39:
 
Well Said Lisu Aluta continue.

Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.

Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha
 
Anasema Kamati Kuu imeamua kuwavua nyadhifa zao zote watu wote waliotajwa katika waraka huo ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.

Pia kamati kuu imeunda kamati ya kuchunguza na kufuatilia mhusika mwingine M2 ambaye anadaiwa ni Mtumishi wa Makao Makuu ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yake

Kamati Kuu imeagiza wahusika wote waandikiwe barua za kujieleza ni kwanini wasivuliwe uanachama kwa makosa hayo makubwa waliyofanya.
Safi sana.
 
anasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa mm ambaye ni naibu katibu mkuu zitto kabwe, m1 ni dr. Kitila mkumbo, m2. Hajajulikana na dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa m2, na m3 ni mwigamba. Lissu anasema waraka huo uliojulikana kama waraka wa ushindi unavunja katiba ya chama kwa sababu umepandikiza chuki za kidini, majungu na kukashifu viongozi wa chama kinyume na katiba ya chadema. Lissu anasema tuhuma zote zilizoko katika waraka huo hazijawahi kuwasilishwa kwenye kikao chochote halali cha chama kinyume na matakwa na masharti ya katiba yetu

twambieni ni tuhuma gani hizo?
 
Mkuu Kurugenzi ya Habari ingekuwa vyema kama ungekuwa una edit ile post yako ya kwanza kwa kuongeza hayo maelezo mapya ili iwe rahisi kwa sisi kusoma. Ni ushauri tu lakini na naamini utaufanyia kazi vinginevyo itakuwa kazi kufuatilia update zako.
 
Last edited by a moderator:
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.
 
Waraka tunautaka na vipi kutajwa zito katika waraka huo ndio ushahidi wa kumhukumu? Halafu naona hapa samsoni mwigamba katumika kutengeneza hili sakata na kujifanya muathirika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom