Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Hapa ndo penye pont, kumbe walikuwa wameshajua kinachotokea..
 
lissu anasema naibu katibu mkuu zitto kabwe na dr. Kitila mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini kamati kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.
 
Safi kabisa CC mefanya jambo la maana kwa kutowaruhusu wajiuzulu kiholela.

Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
 
Kweli siasa za Tanzania ni majanga sana kwanini iwe leo na sio jana?? Hivi inakuaje kama mtu akipatikana na kukosoa uongozi wa juu basi ni mtu mbaya jamani??
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

dah............. kumbe kabwe aliomba mwenyewe?kakamatwa pabaya aisee
 
hapa hakuna waraka wa siri wala nini hapa ni swala la ruzuku,posho, uenyekiti zitto mli mtafuta siku nyingi sana sasa bakini na chama cheni na swala la ikulu msahau kabisa.

hizi mbio alizianza mapema lema alaf leo mnatudanganya heti waraka wa siri. mbona amsemi kilicho kwenye huo waraka?

Mkuu Ruttashobolwa umeambiwa Zitto aliomba mwenyewe kujiuzulu naasi zake zote za uongozi ndani ya chama lakini wewe unasema walimtafuta.

Ok assuming kwamba ni kweli walimtafuta na wamempata, sasa utaungana naye kama ataamua kuondoka Chadema? kwakuwa unaonekana wewe unamfuata mtu na sio kufuata misingi.

Tahadhari mkuu usijekujikuta unakanwa mchana kweupe kama walivyowahi kukanwa wengine.
 
Last edited by a moderator:
kitila mkumbo umeharibu sana,usomi wako unakusaidia nini kama huwezi kufikiri kwa mapana???????????????????????????????????????????????????????????????????????????nyie ndio mnatufanya tuonekane hatuna tofauti na ccm

Kitila Mkumbo anahongwa laki mbili kama mfagizi wa ofisini kwangu! Ptuuuuu hata mm naweza mfanya house boy wangu nikamlipa laki nne.....iinaonekana huyu jamaa kusoma kote haikumsaidia kitu
 
Ngoja tusubiri tusikie sasa Zitto yupo huru kwenda CCM as you guys were defending him all day and night atafaa sana kuongoza chama chetu CCM

Aache marupu rupu yake ya ubunge!! Ndoto!
 
Pumbaaa!! na ukweli utajulikana!!hiyo ni danganya toto kama mulivyo mchacha dearth wangwee
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Umemaliza kujamba?? au bado unaendelea..
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama waacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Duh!!! Wasemehewe kidogo adhabu ya kuvuliwa nyadhifa inawatosha!
 
Kamati Kuu pia imeazimia kuusambaza waraka huo kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili watanzania waone na kujua ukweli.

Lissu anamalizia kwa kuwaomba watanzania na Wanachama wote wa CHADEMA nchi nzima wasife moyo na waendelee kukijenga Chama na nchi yao.
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama waacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
cc FaizaFoxy, HAMY-D, CHAMVIGA, utaifakwanza
 
Last edited by a moderator:
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.

Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.

Huu mkakati wa kumdhoofisha Lema waliuanza muda mrefu sana.

Naona sasa wamefanikiwa.
 
hakuna jipya zaidi ya kumkumbatia mbowe na babu......kama utakuja story za hayo tuliyoyasikia basi hakuna jipya tena ndani ya cdm zaidi ya kuwapiga chini ili muungane na vyama vilivyopoteza uelekeo......nyambavu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom