Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.

Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama waacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

C:C ZeMarcopolo hivi kwa nini uombe kujiuzulu nyadhifa Kama una uhakika huna kosa?? Au ndo ile ya Lowassa? Kuonyesha werevu??
 
Last edited by a moderator:
lissu anasema naibu katibu mkuu zitto kabwe na dr. Kitila mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini kamati kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

hapa ndipo pamebeba maana kubwa ya mzozo huu, na kama hili ni kweli na ushahidi upo basi pole dr. Na zzk. Haikufaa kukubali lkn kama ni siasa basii dr. Na zzk hapa ndipo pa kutokea.
 
Da-Vinci's-Last-Supper.jpg
 
Kamati Kuu pia imeazimia kuusambaza waraka huo kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili watanzania waone na kujua ukweli.

Lissu anamalizia kwa kuwaomba watanzania na Wanachama wote wa CHADEMA nchi nzima wasife moyo na waendelee kukijenga Chama na nchi yao.
Kurugenzi ya Habari
===>Uleteni hapa tena katika PDF format itakuwa vizuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ni kwasababu hujawahi kumjua Kitila ndio maana unaamini uzushi huo.kitila ni level nyingine hata huyo Slaa haingii kabisa hapo.Huu uwongo wa siasa chafu utawashuka soon
Kitila Mkumbo anahongwa laki mbili kama mfagizi wa ofisini kwangu! Ptuuuuu hata mm naweza mfanya house boy wangu nikamlipa laki nne.....iinaonekana huyu jamaa kusoma kote haikumsaidia kitu
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

HAPA NDO UJUMBE MKUU ULIPO....wenye akili wataelewa.
 
Can't believe. Kumbe kuna waraka mwengine mbali ya ule uliosambaa!
Nausubiria kwa hamu sana.
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Kwahiyo hawataki viongozi hao waheshimiwe...
 
Mkuu Ruttashobolwa umeambiwa Zitto aliomba mwenyewe kujiuzulu naasi zake zote za uongozi ndani ya chama lakini wewe unasema walimtafuta.

Ok assuming kwamba ni kweli walimtafuta na wamempata, sasa utaungana naye kama ataamua kuondoka Chadema? kwakuwa unaonekana wewe unamfuata mtu na sio kufuata misingi.

Tahadhari mkuu usijekujikuta unakanwa mchana kweupe kama walivyowahi kukanwa wengine.
Mwita Maranya
===>Naamini nyepesi ataomba msamaha maana hii ngoma ni nzota sana kwake.
 
Last edited by a moderator:
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.

Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.

Ubaya ukitaka hewa safi sharti ufungue madirisha yote na ubaya ukifungua madirisha yote wataingia nzi,mijusi,vumbi hadi inakuwa karaha! Hivyo dawa ni kuweka nyavu ili ipite hewa safi tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom