Kitila MkumboAnasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa MM ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, M1 ni Dr. Kitila Mkumbo, M2. Hajajulikana na Dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa M2, na M3 ni Mwigamba.
Lissu anasema Waraka huo uliojulikana kama Waraka wa Ushindi unavunja katiba ya Chama kwa sababu umepandikiza chuki za kidini, majungu na kukashifu viongozi wa Chama kinyume na katiba ya CHADEMA.
Lissu anasema tuhuma zote zilizoko katika waraka huo hazijawahi kuwasilishwa kwenye kikao chochote halali cha chama kinyume na matakwa na masharti ya katiba yetu
yaani sijaelewa hapo.................. madudu ya kidudu mtu zitto!!Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.
Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha
Ukweli mtupu.Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.
Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha
Unaelewa maana ya 'live update'? Sasa akisubiri mkutano uishe ndio akupe taarifa itakuwa ni live? We kalewe gongo sisi tunaendelea kupata news.
Lol masikini Kitila umepatwa na nini? Au ulikuwa unaogopa ajira yako UDSM inaweza kuhujumiwa ndio ukakubali huo usaliti? Umenivunja nguvu kabisa na ninaamini sio mimi pekee bali kundi kubwa la waaharakati na wasomi. Sasa cheza kama Pele, jirudi na shuka chini kubali ulipotoka utasamehewa. Hata kama CCM walikuahidi malipo ya kukupa Vice pale Mlimani hailingani na heshima uliyokuwa ukipewa na washabiki wako.Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.
Yaani msomi mzima kaingizwa chaka na mchumia tumbo ZZK.yaani kitila mkumbo tunavyo kuheshimu kumbe na wewe ni ovyo?
Vipi kuna radio au TV inayorusha LIVE?
yaani kitila mkumbo tunavyo kuheshimu kumbe na wewe ni ovyo?