Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
asante sana kamanda vp kuhusu mnafiki shibuda
 
Last edited by a moderator:
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
 
Pia Kamati Kuu imeagiza mchakato wa kumvua Zitto nafasi yake ya Unaibu wa Kambi ya Upinzani Bungeni.

hapa hakuna waraka wa siri wala nini hapa ni swala la ruzuku,posho, uenyekiti zitto mli mtafuta siku nyingi sana sasa bakini na chama cheni na swala la ikulu msahau kabisa.

hizi mbio alizianza mapema lema alaf leo mnatudanganya heti waraka wa siri. mbona amsemi kilicho kwenye huo waraka?
 
Waraka tunautaka na vipi kutajwa zito katika waraka huo ndio ushahidi wa kumhukumu? Halafu naona hapa samsoni mwigamba katumika kutengeneza hili sakata na kujifanya muathirika.

Huku CCM Zitto anatufaa acha aje mkuu
 
kitila mkumbo umeharibu sana,usomi wako unakusaidia nini kama huwezi kufikiri kwa mapana???????????????????????????????????????????????????????????????????????????nyie ndio mnatufanya tuonekane hatuna tofauti na ccm
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama waacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Kwa kuwa Tundu Lissu sio msomi.....na kwa kuwa naye anatoka uchagani bila shaka nakubaliana na wewe....
Walifukuzwa madiwani Arusha....hamkusema usomi wala ujinga wao pia kanda yao....why kwa Zitto?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom