Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,868
Wanasiana Bana Full KOMEDI.......... Yaani uligonga LIKE kwenye taarifa ile, leo mmegeuka kusema waliotengeneza ni TISS?
nawe acha ujinga. Kwani zitto kakwambia ataenda police kama walaka umetoka chadema tu?. Alimwandikia slaa barua azibitishe kama walaka umetoka ndani ya chama na kama si kweli awachukulie hatua walioisambaza. Sasa hapo kakosea nini? Akinyamanza mtasema mbona kanyamanza kuwa huenda nikweli, sasa katimiza wajibu mnaongea utumbo hapa. Huu ujinga gani?
ku -like comment ya mtu si lazima uwe unaisupport, unaweza ku-like kuonyesha kwamba imekukera.
Cha msingi uongozi wa juu umetamka kwamba hauna tatizo na wewe, sasa hayo mengine ya ku-like au kuto - like comments ni mengine.
kwa lipi? Ana tatizo gani kama huu walaka si wakweli? Lema kafanya nini juu ya zitto mbona hammsemi? Acheni chuki nyie.
ngoja kwanza,hebu twende polepole hapa.TISS yan Tanzania interbank service system au? But mimi najua ni kijana jasiri, anayejiamini na anayempenda mungu bac na nimkweli wakila jambo.
Siwezi kuacha ujinga,maana huwezi kabla hujawa mjinga, Ni suala mtambuka kuwa zitto, na Chadema wana mgogoro, Bahati mbaya wewe ni mfuasi wa Zitto ndio hutaki watu wahoji kuusu zitto. kuuliza sio Ujinga wewe mwenye uelewa umelisaidia nini Taifa.
Huu ni unafiki nanan alimtuma ben satisa na ile sumu
Hee!Kumbe Slaa kishawashtukia akina Ben na Yericko kuwa ni Wavurugaji wa Chadema kweli nimeamini Uongo hpanda lifti na ukweli hupanda Ngazi, Hongera zako Slaa, ila pia nikushauri Badilisha Password yako ya JF maana kuna siku Mwandani wako labda alitumia jina lako ku like uzushi wa Mashosti zake kina Yericko!
ngoja kwanza,hebu twende polepole hapa.
Slaa anadai ile report ya kumsiliba zito imetengenezwa na usalama wa taifa ili kuivuruga chadema,siyo?.
Then anaeonekana kuisupport na kuisambaza ni ofisa mwandamizi wa chadema na fundimwashi maarufu jijini dar mr yerico j.k.nyerere.SAWA?.
Then how come report ya usalama wa taifa yenye lengo la kuivuruga chadema iwe supported na ofisa wa chadema au righthandman wa slaa?.
Du aijawah kutokea
ku -like comment ya mtu si lazima uwe unaisupport, unaweza ku-like kuonyesha kwamba imekukera.
Cha msingi uongozi wa juu umetamka kwamba hauna tatizo na wewe, sasa hayo mengine ya ku-like au kuto - like comments ni mengine.
Siwezi kuacha ujinga,maana huwezi kabla hujawa mjinga, Ni suala mtambuka kuwa zitto, na Chadema wana mgogoro, Bahati mbaya wewe ni mfuasi wa Zitto ndio hutaki watu wahoji kuusu zitto. kuuliza sio Ujinga wewe mwenye uelewa umelisaidia nini Taifa.
Aisee,huyu jamaa ni zaidi ya Shibuda! Sasa alikuwa na haja gani kunukuu viongozi wa chadema ilhali yeye anaamini kinyume cha kile walichokisema?
Mkuu hapo kwenye red. Inamaana ata ile michezo ya Pro. Kapuya unairuhusu?
acha uongo we mbeba sumuNi kweli mkuu kwa mfano mimi huwa nina-Like hata wale wanaonitukana!
Nakuonea huruma maana unaishi kwa matumaini....CCM ni chama cha Wabakaji...Na wewe ni matunda ya mama yako kuomba karo kwa Kapuya???