Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

kwahiyo ujiulizi ukaona ukweli uko wapi? Hata kama ni kuhoji si kwanamna hiyo, wewe unatumia lugha ya kumtuhumu moja kwa moja kama unaushahi. Eti wakae nae wamshauri ache siasa uchwara, au serious?

Ndio wakae nae, Wafanye Mazungumzo na kuacha Michezo yake Katika Mipango Ya Chama.
 
well said DR.kitila,yapaswa kuwa hivyo.all the best ktk kuyamalza.
 
ku -like comment ya mtu si lazima uwe unaisupport, unaweza ku-like kuonyesha kwamba imekukera.

Cha msingi uongozi wa juu umetamka kwamba hauna tatizo na wewe, sasa hayo mengine ya ku-like au kuto - like comments ni mengine.

hakika.
 
Duh kauli kuntu juu y msimeno. Baravo zitto its punch after punch.

Yan izo kauli zina maana gan wakati viongozi wanalike post za zito kitukanwa? Haina maana kiongozi wa chadema kaweka ile hekaya kwenye blogu yake.

Wenye akili wameelewa andiko la zitto

Ant Democracy
 
Nakuonea huruma maana unaishi kwa matumaini....CCM ni chama cha Wabakaji...

Nimekuuliza swali jepesi sana mama yako ni mwanaCCM mwenzetu naye pia ni mbakaji? Huna haja ya kunionea huruma hata kidogo jionee wewe huruma yaani unataka kumkana mama yako kisa chake ni nini??
 
Mnachukia mkiona amani inarudi CDM? Na wiki ijayo tunayamaliza yote haya na kuibuka timu imara zaidi. Wenye majungu na uzushi watafute lingine, hili linaenda kwisha.
mnaenda kuyamaliza na nani,TISS?.

Sababu kama report ilikua cooked by TISS,it means slaa hawahusiki,then hakuna maana ya kwenda kuyamaliza kwa dr.
Then how come slaa akalike report ambayo imetengenezwa na TISS na ccm?jibu ni kuwa upo mgogoro kati yenu na ndio unaosema mnaenda KUYAMALIZA.
 
Huyu Zitto ni msumbufu sana.sasa anamlalamikia katibu wa mkoa wakati yeye ni naibu katibu mkuu,si akachukue hatua?yale yale ya fisadi lowasa"kila mtu analalamika,wanachama wanalalamika,viongozi wanalalamika.hovyo sana huyu jamaa.ofisi yake iko facebook siku hizi.
 
Dr. Willbrod Slaa " hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamaliza kwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"

" waraka huo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti ya serikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao

Edwin Mtei " haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo uliotungwa ili kutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki au kile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi. Lengo kutuvuruga"

Mabere Marando " andishi hili ni feki. Nimeliangalia andishi lote. Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"

Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa na wanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake. Viongozi wengine waka 'like' kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama na CCM?

Zitto facebook page

Hizi comedy za Chadema huwa zinanichekesha sana, kila kitu eti CCM, haya sasa hata andiko la Lema, Nassary, Yericko Nyerere na akina Ben Saanane mtakuja na kutuambia limeandikwa na CCM kwa kushirikiana na idara nyeti ya serikali.
 
Watu wengi walikuwa wanasubiri kauli yako, vyema sana presidaa
 
Duh kauli kuntu juu y msimeno. Baravo zitto its punch after punch.

Yan izo kauli zina maana gan wakati viongozi wanalike post za zito kitukanwa? Haina maana kiongozi wa chadema kaweka ile hekaya kwenye blogu yake.

Wenye akili wameelewa andiko la zitto
...We si umedai tusikulink na matatizo ya kipuuzi ya CHADEMA? vipi tena au umekubali kuwa wewe pia ni mpuuzi ndo maana unapenda kuongelea upuuzi wa CHADEMA?
 
Yaani katika post nzima, Wewe ndio hilo neno umeliona!??

Mkuu tuvumiliane, Kiukweli unakera sana na michango yako humu ndani. Kiukweli hii post ni tiba tosha kwa majeraha tuliyoyapata wapenda Demokrasia wote. Sasa badala ya kuitumia hii post kama dawa wewe unaitumia kama sumu. Ndio maana unafanya watu tushindwe kujadili. Pengine niliteleza kumuingiza mtuhumiwa humu wakati hausiki, labda nitumie neno hili Your Infiriorty Complex
 
Dr slaa.
Inasikitisha kwa kweli. Kama ile ripoti haikutoka Chadema,na Chadema haina tatizo na Zitto. Kwanini zito alienda Polisi kufungua kesi huku **AKIDHANI wahusika ni Chadema??
Na kama ripoti hakutoka Chadema, Kwanini msikae na zitto mumueleze aache siasa uchwara?

.....Ukisha jua maana ya neno "akidhani" hautokua mbishi siku nyingine..
 
Dr slaa.
Inasikitisha kwa kweli. Kama ile ripoti haikutoka Chadema,na Chadema haina tatizo na Zitto. Kwanini zito alienda Polisi kufungua kesi huku akidhani wahusika ni Chadema??
Na kama ripoti hakutoka Chadema, Kwanini msikae na zitto mumueleze aache siasa uchwara?
Mkuu Zitto hakwenda kufungua kesi kama alivyosema ila aliitwa kutoa maelezo kuhusu vitisho alivyo pokea kutoka kwa mafisadi kama ilivyonukuliwa toka gazetini. Ushahidi wa hili ulionyeshwa jana hapa JF. Ni kuwa Zitto hakusema ukweli kilichompeleka Polisi na sijui ni kwa nini.
 
Mabere Marando si bado TISS jamani? Kie kie kie kie
 
Huyu ni mtendaji mkuuchadema
Katibumkuu wa chadema dk slaa amesema kuwa chadema hawana tatizo na zitto nawanamtambua kama naibu katibu mkuu wao,na suala la waraka ni njama za wabayawao ccm na serikali kupitia idara nyeti yani tiss kasema wapo vigogo wenyemajina mengi wamehusika watawataja hivi karibuni
HUYU NI NAIBU MTENDAJI MKUU
Dr. Willbrod Slaa " hatuna tatizo hata kidogo naZitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamalizakwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"

" warakahuo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti yaserikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao

Edwin Mtei" haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo uliotungwa ilikutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki aukile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi.Lengo kutuvuruga"

Mabere Marando " andishi hili ni feki. Nimeliangalia andishi lote.Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"

Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa nawanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake.Viongozi wengine waka 'like' kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama naCCM?

MY TAKE
NI KWANN MHZITO AMEKATAA KUKUBALIANA NA DK SLAA??? JE NI KWANN DK SLAA ALIWEKA LIKE KWENYE STORY YA MH ZITO???
 
Back
Top Bottom