Dr. Slaa bora amuombe radhi Zitto yaishe.
Tatizo la Slaa ni mbishi sana kuomba radhi...
Katibu mkuu wa chadema dk slaa amesema kuwa chadema hawana tatizo na zitto na wanamtambua kama naibu katibu mkuu wao,na suala la waraka ni njama za wabaya wao ccm na serikali kupitia idara nyeti yani tiss kasema wapo vigogo wenye majina mengi wamehusika watawataja hivi karibuni

Dk slaa ni mnafiki unagonga like kwenye waraka halafu unaleta maelezo eti we r with u zitto shame on u hii conspiracy thery