Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

fangfangjt

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
571
Reaction score
139
Dr. Willbrod Slaa " hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamaliza kwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"

" waraka huo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti ya serikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao

Edwin Mtei " haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo uliotungwa ili kutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki au kile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi. Lengo kutuvuruga"

Mabere Marando " andishi hili ni feki. Nimeliangalia andishi lote. Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"

Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa na wanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake. Viongozi wengine waka 'like' kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama na CCM?

Zitto facebook page
 
zitto ondoka chadema kaka hao watu wa kaskazini wataku-chacha wangwe
 
ZeMarcopolo Hakuna mtu anapenda kuambiwa habari mbaya, lakini ni vizuri ukambiwa habari mbaya -hasa kama inakuhusu wewe binafsi au taasisi/kikundi/mahali panapokuhusu. Na unapopata taarifa utamshukuru mtoa taarifa (regardless ni mbaya au nzuri) huo ndio uungwana.

Kwa kwa jinsi Jukwaa mtu akitoa taarifa ambayo inakuhusu kwa namna moja au nyingine, unabonyeza kitufe gani kumshukuru?
Is it possible kwamba 'like' katka context ya hili jukwa ina maana zaidi ya moja?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mtu anapenda kuambiwa habari mbaya, lakini ni vizuri ukambiwa habari mbaya -hasa kama inakuhusu wewe binafsi au taasisi/kikundi/mahali panapokuhusu. Na unapopata taarifa utamshukuru mtoa taarifa (regardless ni mbaya au nzuri) huo ndio uungwana.

Slaa hakuw na sababu ya kulike, angeweza kuandika kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Chadema.

Picha za Lema akilawitiwa ziliposambazwa Mzee Mtei alikuja mtandaoni mara moja kumtetea, lakini kwenye hili la Zitto wameishia kubonyeza like.

Ujumbe walioutoa umefika...
 
Dr.W.Slaa kiburi siyo maungwana muombe radhi Zitto ili swala liishie nje ya mahakama.

Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.

Cc Josephine
 
Last edited by a moderator:
ZeMarcopolo Aisee,huyu jamaa ni zaidi ya Shibuda! Sasa alikuwa na haja gani kunukuu viongozi wa chadema ilhali yeye anaamini kinyume cha kile walichokisema?
 
Last edited by a moderator:
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.

Cc Josephine
Mbali wapi zaidi ya kujipoteza mwenyewe, ikizingatiwa anatembea katika nyayo za Tambwe Hiza, badala ya kwenda mahakamani eti kaandika statement polisi. Aende mahakamani badala ya kujaza rejista za polisi bila sababu ya msingi.
 
Hakuna mtu anapenda kuambiwa habari mbaya, lakini ni vizuri ukambiwa habari mbaya -hasa kama inakuhusu wewe binafsi au taasisi/kikundi/mahali panapokuhusu. Na unapopata taarifa utamshukuru mtoa taarifa (regardless ni mbaya au nzuri) huo ndio uungwana.

Kwa kwa jinsi Jukwaa mtu akitoa taarifa ambayo inakuhusu kwa namna moja au nyingine, unabonyeza kitufe gani kumshukuru?
Is it possible kwamba 'like' katka context ya hili jukwa ina maana zaidi ya moja?

Nyie lumumba fc,mchukueni Zito wenu na jimbo lake linabakia mikononi mwa cdm,
 
Back
Top Bottom