Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Slaa hakuw na sababu ya kulike, angeweza kuandika kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Chadema.

Picha za Lema akilawitiwa ziliposambazwa Mzee Mtei alikuja mtandaoni mara moja kumtetea, lakini kwenye hili la Zitto wameishia kubonyeza like.

Ujumbe walioutoa umefika...

Umechoka ndugu yangu...Una swaga za mwaka 47....Umechuja mbayaaaa.....Kajipange.....Vipi backup uliyoiita mbona haijitokezi...
 
Slaa hakuw na sababu ya kulike, angeweza kuandika kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Chadema.

Picha za Lema akilawitiwa ziliposambazwa Mzee Mtei alikuja mtandaoni mara moja kumtetea, lakini kwenye hili la Zitto wameishia kubonyeza like.

Ujumbe walioutoa umefika...

Sikukuliza kama 'whoever' ana sababu au la za kulike chochote. Swali langu liko very clear, na nakuuliza tena, ukitaka kumshukuru mtu kwa kutoa taarifa kwenye hili jukwaa unabonyeza kitufe gani, ZeMarcopolo?
 
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.

Cc Josephine

Marco,huyu mwanamama anaingiaje hapa,jaribu kumuheshimu ni dada yako.
 
Last edited by a moderator:
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.

Cc Josephine

Mbn wewe unasisitiza aombwe radhi muombe wewe, mhusika hafiki ofisini kwake mpk aombwe jf. Ndy makubaliano ya kumaliza mgogoro huu, aende ofisini kwake wakutane wawaite wahusika wazungume mapungufu na ujumbe ulomfikia mlengwa yaishe. Iacheni cdm yetu, tujenge chama chetu. Wote nyie mbn ccm tu.
 
Last edited by a moderator:
Daima kwenye maisha ukiona unapata misukusuko, kaa chini na jambo la kwanza kabisa kutoka moyoni mwako bila kumnyoshea kidole mtu yeyote yule , jiulize ni namna gani wewe umechangia tatizo hilo.Ukiona zaidi ya 67% ni uzembe wako mwenyewe basi usithubutu kumlaumu mtu yeyote yule , kaaa chini jipange upya.



eleanorroosevelt385439.jpg
 
Na hawa wanaomchukia Zitto ni dini gani kamanda.
Ninachojua ni wanachadema.

Chadema imeshaingia migogoro akina JULIANA SHONZA, FELIX MKOSAMALI, DAVID KAFULILA, nk. sijui hao nao ni dini au ni uvurugaji wa chama?

Hata hivi karibuni Samson Mwigamba pia bila shaka unajua dini yake.

Lakini hao wana ccm niliowataja, wako tayari kubeza viongozi wa CCM wakristo waliojenga chama lakini ikija suala la Mwana CHADEMA muislamu utaona wanakesha humu.

cc. Chris Lukosi
 
Ninachojua ni wanachadema. Chadema imeshaingia migogoro akina JULIANA SHONZA, FELIX MKOSAMALI, DAVID KAFULILA, nk. sijui hao nao ni dini au ni uvurugaji wa chama? Hata hivi karibuni Samson Mwigamba pia bila shaka unajua dini yake.Lakini hao wana ccm niliowataja, wako tayari kubeza viongozi wa CCM wakristo waliojenga chama lakini ikija suala la Mwana CHADEMA muislamu utaona wanakesha humu.cc. Chris Lukosi
Mimi sijui chochote wewe si ndiyo umeleta maswala ya dini.
 
Last edited by a moderator:
kabuya kabaka mtoto wa miaka 14 pamoja na kumuambukiza virusi vya Ukimwi...na kumtishia maisha
 
Zitto anatetewa na wana CCM waislamu kwa sababu ya UDINI wao.

Mimi ni mkristo mwana CCM, napata uchungu nikiona Ritz, Faizafoxy na chamviga mkibeza mchango wa Nyerere kwa kuwa tu ni mkristo.

Nyie hao hao ndio mnamtetea Zitto kwa kila kitu kana kwamba ni malaika.

CCM imetekwa nyara na WAISLAMU wanaotaka kugawa watanzania.

We mjinga kweli kabisa labda utakuwa ni Mulugo product. Hivi kumpinga au kumkosoa nyerere ni udini? By the way Nyerere alikuwa Mungu mpaka tusimkosoe kwa maovu yake aliyofanya? Wewe sio ccm ila ni mkristo.
 
Sikukuliza kama 'whoever' ana sababu au la za kulike chochote. Swali langu liko very clear, na nakuuliza tena, ukitaka kumshukuru mtu kwa kutoa taarifa kwenye hili jukwaa unabonyeza kitufe gani, ZeMarcopolo?

hivi unamshukuru hata alietoa taarifa za uongo na uzushi?
Taarifa ambazo unajua zinakiathiri chama chako na ni za kukihujumu?
 
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.

Cc Josephine
Mzee kapuya kaomba radhi?????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom