Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Hata like waligonga wabaya wao na vibaraka wa ccm pamoja na TISS ...
Tumekuelewa Mr. President, wewe ndio msemaji wa mwisho, Tunakukubali na tunakuamini.
Hakuna na hakutakuwa na ukweli mwingine zaidi ya huo ulioutoa.
Dr slaa.
Inasikitisha kwa kweli. Kama ile ripoti haikutoka Chadema,na Chadema haina tatizo na Zitto. Kwanini zito alienda Polisi kufungua kesi huku akidhani wahusika ni Chadema??
Na kama ripoti hakutoka Chadema, Kwanini msikae na zitto mumueleze aache siasa uchwara?
My gawd...!!,kumbe yerico ni TISS?
Dr. Willbrod Slaa " hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamaliza kwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"
" waraka huo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti ya serikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao
Edwin Mtei " haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo uliotungwa ili kutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki au kile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi. Lengo kutuvuruga"
Mabere Marando " andishi hili ni feki. Nimeliangalia andishi lote. Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"
Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa na wanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake. Viongozi wengine waka 'like' kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama na CCM?
Zitto facebook page
CCM ni mtetezi wa wanyonge...
Bali CHADEMA mwangalieni Zitto kwa macho manne! hana tofauti na Shibuda:tinfoil3:
saa tisa siku hizi ameanza kujitambua.Wapi kifaranga wa dr (saa tisa) hajafika hapa bado?
Hata mtoto aliyebakwa na Kapuya ni Mnyonge, mteteeni pia
Eddo Sambai,unamaanisha Dr.W.Slaa ndio Alfa na Omega,hawezi kukosea na neno lake ndio final?
Koment yako imenistua kweli
Zitto ni kijana msumbufu sana ...hayo mambo ya ku like mara viongozi wa chadema wamehusika bi vitu vya ku deal navyo at personal level chama kimekwisha sema hakihusiki...kwisha!!