Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Leta ushahidi kuhusu Ben Saanane badala ya porojo hizi.
Don't you realize how daft you are?
kiherehere kinekuzidi chanaga united mpaka unaharibu sasa...angalia Babu kakukana kwa kiherehere chako
Leta ushahidi kuhusu Ben Saanane badala ya porojo hizi.
Don't you realize how daft you are?
Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu.
CCM ni mtetezi wa wanyonge...
Nimepitia comments zako zote nimegundua kuwa wewe ni mtu wa aina gani? na mpo wengi wahadhirika wa namna hiyo... KILA KITU MNAONEWA..
Tatizo Zitto anafanyia kazi twitter
UKISHAMFAHAMU MTU UNAMCHUKULIA KAMA ALIVYO.. NA HUO NDIO UUNGWANA NA NDIO LIMELIFANYA HILI TAIFA LIENDELEE KUWEPO.. otherwise wote tungekuwa kama wewe pasingekuwa na taifaUmefaidikaee kwa kunijua?
nakuonea huruma dhidi ya huo unafiki unao ueneza,,mimi sijagusia suala lolote lile la udini,ukanda amaukabila..hata kama unahoja nzito na nyeti lazima uhusishe masuala ya udini,ukanda na ukabila?najua upeowako ni mdogo coz hujui maana ya kupandikiza chuki zinazohusiana na masuala ya ukabila,,mimi nimetembea sana kenye and I had some relatives there ambao walikua wakinihost..but sadly leo hawapo ajili ya ujinga na upuuzu,chuki na unafiki wa kikabila kama unaouendekeza wewe mbumbumbu...please siku nyingine assess your words b4 posting them..hivi hata leoukiulizwa kuthibitisha dhana..nasema dhana...ya ukabila na huo udinindani ya CDM kwa kuhusisha matabaka yaliyoma ndani ya chama utaweza?kumbuka matabaka simaanishi makundi yasiyoelewana....but mie amjust std 7 lakini nafanya jitihada kubwa kujua namna ya kufanya siasa...wewe je?std 2b?komaaa bwana otherwise usiniuote vingine...karibu BUKOBA TULE MATOKEKakosea nini mtetezi wako? Au unataka awe mchaga, mkristo, mkaskazini ndio utampenda? Soma alama za nyakati.
UKISHAMFAHAMU MTU UNAMCHUKULIA KAMA ALIVYO.. NA HUO NDIO UUNGWANA NA NDIO LIMELIFANYA HILI TAIFA LIENDELEE KUWEPO.. otherwise wote tungekuwa kama wewe pasingekuwa na taifa
poleni sana wana chadema.

