Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kulikuwa kuna misukule humu ya @Yericko na BENSaanane walikuwa wanamtuhumu Zitto bila hata kumsikiliza sasa leo wanakula matapishi yao, mmetumika kumchafua na Siasa zenu za Maji taka leo hii mnataka yaishe. Wapuuzi wote mliokuwa mnawaSupport hao Vibaraka wa CCM
Leta ushahidi kuhusu Ben Saanane badala ya porojo hizi.

Don't you realize how daft you are?
 
Last edited by a moderator:
Katibu mkuu wa chadema dk slaa amesema kuwa chadema hawana tatizo na zitto na wanamtambua kama naibu katibu mkuu wao,na suala la waraka ni njama za wabaya wao ccm na serikali kupitia idara nyeti yani tiss kasema wapo vigogo wenye majina mengi wamehusika watawataja hivi karibuni

Slaa acha unafiki, nani anawatuma Lema na Ben saanane kumkashifu Mh Zito mitandaoni?
 
Mnachukia mkiona amani inarudi CDM? Na wiki ijayo tunayamaliza yote haya na kuibuka timu imara zaidi. Wenye majungu na uzushi watafute lingine, hili linaenda kwisha.
Dr.Kitila heshima yako, Nakuomba sana mkuu usiingie kwenye huu mtego wa siasa za mipasho.Wewe ni mtu mkubwa na unayeheshimika tafadhali utashusha credibility zako kaka. Siasa za kibongo hazitabiriki leo unapakwa matope kesho wanakupamba,umefanya research nyingi hujagundua hilo??
 
Katibu mkuu wa chadema dk slaa amesema kuwa chadema hawana tatizo na zitto na wanamtambua kama naibu katibu mkuu wao,na suala la waraka ni njama za wabaya wao ccm na serikali kupitia idara nyeti yani tiss kasema wapo vigogo wenye majina mengi wamehusika watawataja hivi karibuni

mapenz ya uzeen yanamsumbua huyu mzee_ zile LIKE alizokuwa anagonga ni TISS wali_hijack ID yake nin?
 
Leta ushahidi kuhusu Ben Saanane badala ya porojo hizi.

Don't you realize how daft you are?

dogo unavyohangaika na kuganga njaa_hapo umeshaona kitu si bure, haya kama SLAA vile_endeleen kukana matapishi yenu, mlidhan ZZK ni mwepesi kama MWIGAMBa, mmeanza kugongana
 
Mbona mi nashindwa kuelewa? Inamaana Yariko Nyerere ni ofisa usalama? Ben saanane ni mwana ccm,maana hawa ndio waandaaji na wasambazaji wa waraka wa siri.
Slaa huyuhuyu ali LIKE andiko lile na kikubwa kinachotiliwa shaka ni kuchelewa sana kukubari au kukanusha juu ya waraka huo. Binafsi naamini kuwa Slaa na wenzake walikuwa wamedhamiria kumdhalilisha zitto ili kuua nguvu yake ya kisiasa lkn wamegundua kuwa chama kitafia hapo. Sasa wameamua kujitokeza kukanusha.
Kama kweli Slaa na wenzake wanania ya dhati ya kukisafisha chama,basi hawa usalama waliochadema ambao wapo kwaajili ya kuwachonganisha viongozi wa juu wanapaswa kuadhibiwa bila kuwaonea aibu. Hawa watu wanafahamika.ni BEN SAANANE NA YARIKO NYERERE, hawa ndio agent wanaotumiwa kukivuruga chama.naamini mkutano ujao chama kitafanya maamuzi magumu.
 
Slaa ni janga. Mbona hajawahi kuwakemea vibaraka wake akina lema, kileo na sanane na yeriko wanaomshsmbulia Zitto.
 
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.

Cc Josephine


Zitto amekwisha umbuka hivyo he will not be of any help kwa wale magamba wanaotaka kumtumia kudhoofisha chadema!!! Hakuna mtu wa kumuoba radhi Zitto akitaka anaweza kuhama akaenda ccm ambao ndio wanampa kula yake!!
 
Slaa na Yariko Nyerere nani Mkweli? yariko anadai waraka umetoka makao makuu ,slaa anakanusha na kudai waraka umeandaliwa na wana ccm na usalama wa taifa. Kwa maana Nyingine alieuleta mitandaoni katumwa na ccm na usakama wa Taifa,hapa Yariko Nyerere hana pa kutokea.
Tayari watu wamejiridhisha na kugundua kuwa anaetumia jina la yariko Nyerere jina lake halisi ni ..........Boune.sasa ni wakati kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumshughulikia huyu usalama wa taifa fake,ameinajisi taasisi muhimu kwa usalama wa taifa . Pia namshauri Mh.Zitto kumchukulia hatua za kisheria huyu Boune ,kwani ukicheka na nyani utayavuna mabuwa.
 
Mbona mi nashindwa kuelewa? Inamaana Yariko Nyerere ni ofisa usalama? Ben saanane ni mwana ccm,maana hawa ndio waandaaji na wasambazaji wa waraka wa siri.
Slaa huyuhuyu ali LIKE andiko lile na kikubwa kinachotiliwa shaka ni kuchelewa sana kukubari au kukanusha juu ya waraka huo. Binafsi naamini kuwa Slaa na wenzake walikuwa wamedhamiria kumdhalilisha zitto ili kuua nguvu yake ya kisiasa lkn wamegundua kuwa chama kitafia hapo. Sasa wameamua kujitokeza kukanusha.
Kama kweli Slaa na wenzake wanania ya dhati ya kukisafisha chama,basi hawa usalama waliochadema ambao wapo kwaajili ya kuwachonganisha viongozi wa juu wanapaswa kuadhibiwa bila kuwaonea aibu. Hawa watu wanafahamika.ni BEN SAANANE NA YARIKO NYERERE, hawa ndio agent wanaotumiwa kukivuruga chama.naamini mkutano ujao chama kitafanya maamuzi magumu.

Leta ushahidi hapa au peleka mahakamani juu ya tuhuma hizi za kipuuzi
 
wewe dogo nasikia kapuya mbakaji na yule mama mbunge alokaweka kinyumba kale kavulana, ccm mkisaidiwa na s. kova mmekubaliana kuwakingia vifua kuakisha hawakomi kwa unyama wao?
kapuya isnt my relative bana,am less concern.
 
Dk slaa ni mnafiki unagonga like kwenye waraka halafu unaleta maelezo eti we r with u zitto shame on u hii conspiracy thery

badala mhangaike na katibu wenu wa kisomali muuza pembe za ndovu mmekalia majungu kuhusu katibu wetu
 
Back
Top Bottom